Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

Kwa speed ya mitandao yetu😃😃😃😃

Gharama za data jumlisha na gharama za kulipia App si afadhali uendelee kulipia kifurushi cha DStv
Kuimarika kwa internet hizi dstv etc tunakoelekea zinakufa...maana saiv ukiwa na WIFI na smart tv na ukilipia baadhi ya app pesa kidogo hata elfu 20 haifiki , unaona tv almost zote duniani plus supersport zote channel plus movies and series zote utakazo!
 
Hv kwa mtu aliyejiunga na app ya dstv kwenye simu ....ikitokea dish lina matatizo channel hazionyeshi kwenye tv ....kwa mwenye app ya dstv naye atakua haoni ??
 
Hv kwa mtu aliyejiunga na app ya dstv kwenye simu ....ikitokea dish lina matatizo channel hazionyeshi kwenye tv ....kwa mwenye app ya dstv naye atakua haoni ??
App haitegemei dish inategemea bando lako tu na speed yako ya internet kutegemea mtandao unaotumia. Kinachoshirikiana na app yako ni akaunti yako ya DSTV kupitia decoder, kifurishi kikiisha na chanel za kulipia zinapotea.
 
Back
Top Bottom