Nielekeze namna ya kudownload app kwenye smart tvWIFI inategemeana na kampuni, Mfano zuku internet kifurushi Cha elfu 69 kwa mwezi unaweza connect simu zote Kwa wanafamilia, smart TV zote etc..hapo kwenye smart TV ndio unaweza kudownload YouTube, app za tv etc..hakuna mamilioni mzee.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wametuma kwenye tv na sio simu.Screen shot ujumbe plz
Tupe infos mkuu..Kuimarika kwa internet hizi dstv etc tunakoelekea zinakufa...maana saiv ukiwa na WIFI na smart tv na ukilipia baadhi ya app pesa kidogo hata elfu 20 haifiki , unaona tv almost zote duniani plus supersport zote channel plus movies and series zote utakazo
Jua ni kaliii 🤣
Usimchukulie serious huyo, dish litabaki kuwa dish na hizo technology zitabakia kivyake. Kwa bei za bando na speed ya internet bongo huwezi kukwepa DSTV, AZAM, STARTIMES etc, internet bei mbaya speed kichefuchefu ndo maana kwa bongo kwa watu wajanja hata smart TV sio dili sana. Halafu kuna raha unawasha decorder na TV tu unaanza kuchagua chanel unayoiependa. Ilikuja NETFLIX wabongo wakaibabaikia, bado wakarudi kwenye madish yetu ya kawaida tu. Anachomaanisha huyo jamaa unakuwa na TV ya smart, unailipia bando la internet wiki, mwezi etc, halafu unalipia application fulani ndo kama hiyo NETFLIX halafu ndo unaanza kuchagua chanel unayotaka. Haya umeona huo mlolongo anaodai utaua technology ya madish!?!?😆, Kumbuka hapo bando liwe la maana(unlimited) ya mwezi sio hizi Gb 4 elfu 10 wiki moja..Tupe infos mkuu..
Naomba darasa kidogo pmKuimarika kwa internet hizi dstv etc tunakoelekea zinakufa...maana saiv ukiwa na WIFI na smart tv na ukilipia baadhi ya app pesa kidogo hata elfu 20 haifiki , unaona tv almost zote duniani plus supersport zote channel plus movies and series zote utakazo
Usimchukulie serious huyo, dish litabaki kuwa dish na hizo technology zitabakia kivyake. Kwa bei za bando na speed ya internet bongo huwezi kukwepa DSTV, AZAM, STARTIMES etc, internet bei mbaya speed kichefuchefu ndo maana kwa bongo kwa watu wajanja hata smart TV sio dili sana. Halafu kuna raha unawasha decorder na TV tu unaanza kuchagua chanel unayoiependa. Ilikuja NETFLIX wabongo wakaibabaikia, bado wakarudi kwenye madish yetu ya kawaida tu. Anachomaanisha huyo jamaa unakuwa na TV ya smart, unailipia bando la internet wiki, mwezi etc, halafu unalipia application fulani ndo kama hiyo NETFLIX halafu ndo unaanza kuchagua chanel unayotaka. Haya umeona huo mlolongo anaodai utaua technology ya madish!?!?😆, Kumbuka hapo bando liwe la maana(unlimited) ya mwezi sio hizi Gb 4 elfu 10 wiki moja..Naomba darasa kidogo pm
Bungeni.
Exactly. Now I can watch my favourite TV channels without interference!
Kuhusu AZAM kuwaua Zuku, Continental, startimes ni kweli, ila kwa DSTV sio kweli. Azam atabaki kuwa Azam na DSTV itabaki kuwa DSTV nae ana kundi kubwa tu wao ni DSTV tu, DSTV ana kundi lake, lile kundi ambalo halijawahi kuangalia movie au series ya kutafsiriwa. Ambalo kulipia elfu hamsini hadi laki kwa mwezi sio ishu. Azam ana soko lake kubwa tu na DSTV ana soko lake kubwa tu. Itabakia hivyo.DSTV wasipo jipanga vizuri watakimbia mjini kama wale GTV azam anajuwa kwenye biashara yuko vizuri na esabu ziko
Vizuri sana hakosei [emoji120][emoji871] toka huyu mwamba kaanzisha azam tv 2013 baada ya miaka 4 kuna kampun 3 zilipoteza ramani kabisa
Zuku
Statums
Continental
Dstv wao wanajikongoja [emoji16][emoji16] tu
DSTV wasipo jipanga vizuri watakimbia mjini kama wale GTV azam anajuwa kwenye biashara yuko vizuri na esabu ziko
Vizuri sana hakosei [emoji120][emoji871] toka huyu mwamba kaanzisha azam tv 2013 baada ya miaka 4 kuna kampun 3 zilipoteza ramani kabisa
Zuku
Statums
Continental
Dstv wao wanajikongoja [emoji16][emoji16] tu
Asipofanya hivyo ni mnafikiScreen shot ujumbe plz
Mbona mm sijaipata hio sms,japo mm sio mpenzi mtazamaji ila wife sasaWashatuma notifications kwa clients wote mkuu
Wale wa JUA kali na HUBA pole kwao