Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

Kwa speed ya mitandao yetuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Gharama za data jumlisha na gharama za kulipia App si afadhali uendelee kulipia kifurushi cha DStv
 
Hv kwa mtu aliyejiunga na app ya dstv kwenye simu ....ikitokea dish lina matatizo channel hazionyeshi kwenye tv ....kwa mwenye app ya dstv naye atakua haoni ??
 
Hv kwa mtu aliyejiunga na app ya dstv kwenye simu ....ikitokea dish lina matatizo channel hazionyeshi kwenye tv ....kwa mwenye app ya dstv naye atakua haoni ??
App haitegemei dish inategemea bando lako tu na speed yako ya internet kutegemea mtandao unaotumia. Kinachoshirikiana na app yako ni akaunti yako ya DSTV kupitia decoder, kifurishi kikiisha na chanel za kulipia zinapotea.
 
Azam ame-take over karibu kila upande wa television
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…