Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
safi sanamaoni yako ni yapi?
Pole kibanda umiza wengi hivi sasa wana Canal+wale wa vibanda umiza.. EPL saivi tutaicheki sio kwa jero tena naona.
Afukumi Ili niangalie bunge🙄Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
Kama hauna Kamba ndefu basi nunua cha "afukumi".
Hamia Azam au Startimes vipo vifurushi hadi vya siku(Startimes) na Week(Azam).Afukumi Ili niangalie bunge🙄
Dah nina miezi 8 sijaweka kifurushi washanipigia simu hadi wamechoka. Naishia kuwatongoza tu.
Home Kuna vingamuzi kama 3 hivi, ila DStv ndio inaongoza Kwa kukata muda mrefu bila kulipiaHamia Azam au Startimes vipo vifurushi hadi vya siku(Startimes) na Week(Azam).