Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
- #161
Kote hakufaiHamia Azam au Startimes vipo vifurushi hadi vya siku(Startimes) na Week(Azam).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kote hakufaiHamia Azam au Startimes vipo vifurushi hadi vya siku(Startimes) na Week(Azam).
rikiboy habari.Elfu 34 mkuu ambacho kimepandaa now.
Habari, unaweza kunipa list ya vifurushi vya AZAM?Azam TV kununua ghari 160K ila vifurushi vyake vipo poa sana. Nimeangalia CAF champion league na CAF Confederation Cup bure kupitia ZBC 2. Nikiweka kifurushi cha 8,000 kwa mwezi naangallia mpaka mieleka na ligi ya Zanzibar yote.
Elfu 40 kwa Dstv utaishia kuona Big Brother Naija, japo napendekeza ununue Dstv hutojutiarikiboy habari.
Nataka leo ninunue decoder na dish nifunge Getto.
Lakin sina uzoefu kabisa na business ya ving'amuzi tangu nizaliwe.
Unashauri nichukue cha DSTV ama AZAM.
Bajeti yangu ya kifurushi kwa mwezi sitaki izidi 40,000.
Napendelea zaidi mpira (wa nje) na channel za mieleka, movie za action, NATIONAL GEO, Wanyama.
Hamia Canal plus wewe hutojutiarikiboy habari.
Nataka leo ninunue decoder na dish nifunge Getto.
Lakin sina uzoefu kabisa na business ya ving'amuzi tangu nizaliwe.
Unashauri nichukue cha DSTV ama AZAM.
Bajeti yangu ya kifurushi kwa mwezi sitaki izidi 40,000.
Napendelea zaidi mpira (wa nje) na channel za mieleka, movie za action, NATIONAL GEO, Wanyama.
Hivi hawa jamaa wana channels za maana kweli?Kuanzia Julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?
View attachment 2666617
canal plus kanda ya ziwa inapatikana mkuu? maana hawa dstv nishaacha kulipia tokea wamekuwa wakipandisha bei kiholela nimeachana nao na stream tu mechi siku hizi.
Inapatikana kakacanal plus kanda ya ziwa inapatikana mkuu? maana hawa dstv nishaacha kulipia tokea wamekuwa wakipandisha bei kiholela nimeachana nao na stream tu mechi siku hizi.