DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

Hawa washenzi kwanza mwezi huu mzima kifurushi nimelipia compact ila hata hiyo TV sijawahi kuiwasha. Nimewakinai yani kuliko nilipie tena hiki king'amuzi ni heri niwe najiunga bundle langu la kutosha tu.

King'amuzi acha kile vumbi stoo.
 
Kuanzia Julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?

View attachment 2666617
Utapandishaje vifurushi vya Tv kama wewe sio mjinga wakati unafahamu kabisa ulimwengu wa sasa umetawaliwa na simu watu wengi sikuhizi hawana muda wa kuangalia Tv wako busy na simu.
 
Ndio, vitu vizuri ni gharama. Nimewauliza kwanini wanapandisha wamenijibu kwa sababu wameongeza chaneli nyingi na hawajapandisha kwa muda mrefu
Ni kweli vizuri ni gharama. Lakini huwezi kujibu ksbb hujapandisha gharama muda mrefu. Kwa nini asisema hatujawahi kushusha kwa hiyo tunashusha gharama?.
Hapo angesema sababu ya kupandisha. Akisema tu hatujapandisha muda mrefu maana yake ukifika muda fulani lazima wawapandishie gharama hata bila sababu?.

Ndio maana Azam atawaacha mbali sana japo siipendi Azam,lakini kwa mtindo huu Azam itazidi kushika kasi kila kona
 
Azam TV kununua ghari 160K ila vifurushi vyake vipo poa sana. Nimeangalia CAF champion league na CAF Confederation Cup bure kupitia ZBC 2. Nikiweka kifurushi cha 8,000 kwa mwezi naangallia mpaka mieleka na ligi ya Zanzibar yote.
Hivi azam mieleka ni channel namba ngapi
 
Ni jambo jema sababu nilishangaa sisi watumiaji wa DSTV iweje tulipe sawa na vingamuzi vingine ni kama Dharau lazima tofauti ionekane ..kwanza ongezeko ni dogo nilitaka walau liwe la 10k
Kwani compact plus ni ongezeko la kiasi gani?
 
Azam anapiga jalamba wapandishe tu
Mkeka umetiki braza
20230724_165350.jpg


Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom