DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

Kutoka 34000 mpaka 37000 afutatu yote hiyo. Afadhali na shule zitakua zimefunguliwa kifurushi hakinunuliwi mpaka september
Hahaaaaaaa.. Mie huwa nalipa cha 56,000 shule ikifungwa Dec na June tu... Sio fan wa TV mie.
 
Nataka nifanye Maamuzi magumu haswaaa...

Natafuta Kisimbuzi cha Canal Plus nimesikia kinauzwa 160k hadi 180k na malipo ya mwezi ni 40k ambapo nitapata Ligi zote za ulaya na kwingineko (Potelea pote, maisha ndio hayahaya) Japo itabidi nifanye savings kwa ajili ya hii ishu

Anaejua link ya ule uzi wa canal + anipe hapa
Wako wapi hao Canal!? HQ..!?
 
Azam TV kununua ghari 160K ila vifurushi vyake vipo poa sana. Nimeangalia CAF champion league na CAF Confederation Cup bure kupitia ZBC 2. Nikiweka kifurushi cha 8,000 kwa mwezi naangallia mpaka mieleka na ligi ya Zanzibar yote.
Hizo caf champions league na confederation quality ya picha sio nzuri. Azam bado hajafikia ubora wa dstv
Ukiweka dstv mechi ya cafccl na ukiweka azam utaona vitu tofauti
 
Lazima wapandishe

Kupata haki ya kuonesha Premier League tu wanalipa zaidi ya Pauni Milioni 300 [Tsh. Bilioni 900] kwa miaka mitatu mitatu ,lazima watafute sehemu ya kufidia
 
Back
Top Bottom