DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

Mimi napenda mpira naangalia zote na zipo home...mpia wa Kibongo nipo na Azam nje nipo na Dstv huo ndio ulevi wetu...
Hongera mzee, wengine kifurushi chako cha mpira kwa mwezi, wengine ndiyo mshahara wetu kwa mwezi.😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hongera mzee, wengine kifurushi chako cha mpira kwa mwezi, wengine ndiyo mshahara wetu kwa mwezi.😀😀😀😀😀😀😀😀
Kama hutaki kutake risk utaendelea kusema hivyo hivyo si wengine tuliwahi panda mtumbwi usiku kuvuka mpaka wa Zambia Livingstone kuelekea Sesheke Namibia hapo enzi za Savimbi leo ukishangaa mambo ya TV ni kunivunjia heshima mkuu....
 
Sasa hv pia wameweka option ya kuweza kulipia zaidi ya mwez mmoja ,mfano miez 3,6 au 11

Ukilipia 11 months unapewa offer ya mwez mmoja bure

Sasa hapo maamuzi ni yako
 
Back
Top Bottom