DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

nikirudia huu utumwa, mniite punda nimekaa kule 😔
Hiki kikishaa
Tukutane huko bomba kwa elf 24.
Mpira kwanza haramu
Jua kali nitaikuta kwa elf 24.
IMG_7685.jpeg
 
Sema siku hizi kutokana na utandawazi watoto wanaelewa mambo haraka. Nakumbuka enzi hizo wakati tamthlia za kifilipino zimeanza bamba mfano the promise sijui timeless kulikuwa na mashoga mle hata sikuwa najua hata ushoga ni nini nilikuwa tu nadhani wanajaribh kutuchekesha kwa kuvaa nguo za kike ukizingatia zama hizo hata wachekeshaji wa kibongo walikuwa wanavaa nguo za kike na kujpaka masizi.

Kwani siku hizi hao unaowaita wachekeshaji wenu hawavai magauni na mawigi?
 
Kwani siku hizi hao unaowaita wachekeshaji wenu hawavai magauni na mawigi?
Sio sana kama zaman siku hizi wameanza kuchange hadi wengine wanachekesha wakiwa wamevaa suti tofauti na zamank ni kuvaa kike na matambala
 
Back
Top Bottom