DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

Nataka nifanye Maamuzi magumu haswaaa...

Natafuta Kisimbuzi cha Canal Plus nimesikia kinauzwa 160k hadi 180k na malipo ya mwezi ni 40k ambapo nitapata Ligi zote za ulaya na kwingineko (Potelea pote, maisha ndio hayahaya) Japo itabidi nifanye savings kwa ajili ya hii ishu

Anaejua link ya ule uzi wa canal + anipe hapa
 
Mimi nina dstv kwangu lakini mda wote naona chanell ni catton tu full time na huwa nalipia hichi cha elfu34 ambacho naona ni 37 sasa.... na nalipa kwaajili ya mtoto wangu me sina muda wakuangalia tv om,

Niwashauri hawa dstv sawa hata kama mmepandisha jitaidini na chanell za mpira mziweke hasa ligi kuu ya NBS tanzania mnatupa shida sana.... yani mpira mpaka uka angalie mtaani!!! Maana mimi nikiangalia tv ujue kuna mpira!!!

Na ikiwezekana chanell baazi zinazoonyesha mpira wa ulaya mzishushe huku chini” kifurushi cha laki na 60 nalipiaje kwa mfano?

Wengine starehe yetu ni mpira, sasa nalipia elfu37 kwaajili ya catoon ya mtoto tu hii sio poa DSTV...... mlitizame na hili
 
Ndio, vitu vizuri ni gharama. Nimewauliza kwanini wanapandisha wamenijibu kwa sababu wameongeza chaneli nyingi na hawajapandisha kwa muda mrefu
Hawa Jamaa wanafirisika Huko South Africa: Wanatuongezea Bei huku hili wafidie Maumivu ya kufirisika South Africa :
Big loss for Multichoice . Ata hapa Tanzania wataendelea poteza wateja tu
 
Mimi nina dstv kwangu lakini mda wote naona chanell ni catton tu full time na huwa nalipia hichi cha elfu34 ambacho naona ni 37 sasa.... na nalipa kwaajili ya mtoto wangu me sina muda wakuangalia tv om,

Niwashauri hawa dstv sawa hata kama mmepandisha jitaidini na chanell za mpira mziweke hasa ligi kuu ya NBS tanzania mnatupa shida sana.... yani mpira mpaka uka angalie mtaani!!! Maana mimi nikiangalia tv ujue kuna mpira!!!

Na ikiwezekana chanell baazi zinazoonyesha mpira wa ulaya mzishushe huku chini” kifurushi cha laki na 60 nalipiaje kwa mfano?

Wengine starehe yetu ni mpira, sasa nalipia elfu37 kwaajili ya catoon ya mtoto tu hii sio poa DSTV...... mlitizame na hili
AZAM TV ndio mwenye haki ya matangazo kuonesha LIGI KUU NBC sio Dstv mkuu
 
Back
Top Bottom