Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Kuanzia julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?View attachment 2666617
Compact mzee aliondoka ikiwa 49,000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?View attachment 2666617
Pole kibanda umiza wengi hivi sasa wana Canal+
Wanao uzi wao humuHii naipataje kaka.
Hii naipataje kaka.
Kuna channel baadhi za katuni nimezipga pin. Ni vizuri ukiwa na watoto ujue wanatazama nini na sio kila muda.Nyie mnaoangalia dstv muwe mna control Tv zenu maana ushoga huko ni nje nje...watt na hizo cartoon zipo free exposed na zina maudhui ya kimagharibi...ni hayo tuu...
Sawa kabisaKuna channel baadhi za katuni nimezipga pin. Ni vizuri ukiwa na watoto ujue wanatazama nini na sio kila muda.
Sema siku hizi kutokana na utandawazi watoto wanaelewa mambo haraka. Nakumbuka enzi hizo wakati tamthlia za kifilipino zimeanza bamba mfano the promise sijui timeless kulikuwa na mashoga mle hata sikuwa najua hata ushoga ni nini nilikuwa tu nadhani wanajaribh kutuchekesha kwa kuvaa nguo za kike ukizingatia zama hizo hata wachekeshaji wa kibongo walikuwa wanavaa nguo za kike na kujpaka masizi.Sawa kabisa
Nyie mnaoangalia dstv muwe mna control Tv zenu maana ushoga huko ni nje nje...watt na hizo cartoon zipo free exposed na zina maudhui ya kimagharibi...ni hayo tuu...
AminaMungu atusaidie kwakweli.
Itabidi DP World waingie mkataba na hawa DStv ili bei zishuke kutokana na kuwa na uwezo wao kwenye menejimenti..Kuanzia julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?View attachment 2666617
Tafuta dereva mwaminifu Anaeenda Burundi mwagizeHii naipataje kaka.
Hakuna kitu kama hicho. Hayo ni maneno ya mitaani na kwenye magroup ya WhatsApp na mitandaoni.Nyie mnaoangalia dstv muwe mna control Tv zenu maana ushoga huko ni nje nje...watt na hizo cartoon zipo free exposed na zina maudhui ya kimagharibi...ni hayo tuu...