The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana.
Nimeteseka Sana na Azam TV, kila nikitaka kubadili kifurushi. Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka. Kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu. Nimeshangaa sana.
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine wanakupa hesabu unaongeza hela. Huduma za dstv ziko Bora sana, sana. Azam bado uhuni mwingi sana.