DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

Mimi mtu wao WA call centre niliona ananipandishia sauti ...wakati nilikuwa mteja nataka kuongeza malipo nipande kifurushi.... nilishangaa Sana...

Wakati dstv wananipa maelekezo fast ya kupanda kifurushi
Mzungu anajali biashara.
Mpemba anajua utakuja tu utake usitake
 
Inabidi akomae sana asiiachie ligi kuu bongo, siku DSTV akiingia ligi kuu bongo Azam tv chali, ila niwapongeze tu wanashika no 2 kwa ukanda wetu nyuma ya DSTV, kwa bongo no. 1 wakifuatia star times (mchina naye anakomaa si mchezo)
Azam wajanja
Wamewashikisha TFF na Bodi ya Ligi miaka 10 kwa pesa ambayo hadi 2032 dollar 1 itakuwa 3000
 
Azam hata kutafuta kipindi cha kesho Saa Saba huwezi ...dstv naweza ona kipindi nikapata maelezo yake na kujua kesho kinarushwa Saa ngapi
Umesema vema kabisa. [emoji120][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Dstv customer care wako juu
Mteja unapigiwa simu kama mfalme
Majuzi hapa nimepigiwa simu nina akiba ya hela kwa akaunti ambayo hata sikuwa na taarifa nayo. Mambo ya mtandao nikajikuta nimenunua kifurushi mara 2.
Kongole kwao[emoji122]

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Toa hiyo pesa tuile 😁
 
Ata ubora wa picha na sauti dstv wako vizur sn.. azam tv ukungu mwingi yan picha haziko poa kbsa
 
Wewe ulihamia azam kutafuta nini? 🤣🤣🤣🤣 hapana kwakweli, sijawahi kuwaelewa!
Dstv mpango mzima
 
Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...

Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Toka lini bloangu mbongo akawa na huduma nzuri,mi huku dstv sitoki
 
Mbona leo DSTV inagoma kulipia
 
Azam cha muhim kwao labda mech za simba na yanga ila wabov kukata kata kil x quLity ya pcha ya mipir wanaoonyesha ndogo wachambuz miak nenda rud wpo vle vle ofc aibadlik inshot sio wabunif costerm care wao ovyo mie nnacho azam na dstv cz na banda la mpira ila ndan natumia dstv kikiisha tv yangu natumia flash tu ht km azam ina package yn siwazimiag kbs sionag vpnd vya mana labda tamthilia za wTuruk na mapanga
 
Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...

Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Multichoice
 
Back
Top Bottom