DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

Nilishashindwa kuhamia azam kabisa!
Nmebaki na dstv nikitaka mechi ya bongo naenda kibanda umiza.
Na sasa hivi kuna chanel ya mieleka namba 229 kifurushi cha Access. Radio channels ziko poa sana, yaani maisha ya DSTV raha sana.
 
tatizo kila mtu anacho kinachomvutia aangalie, binafsi naipenda azam sababu ya kuonesha matukio zaid ya michezo nyumbani. Nilifungua dish la dstv sababu siinjoi matukio zaidi ya nyumbani.
 
Back
Top Bottom