DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...

Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Uswahili mwingi
 
Siku zingine usijefananisha Dstv na madude mengine mkuu in any ways
 
Azam tv kinacho wapa wateja ni ligi kuu ya Bongo lakin bila hivyo wasingekuwa na wateja.Azam tv ni takataka
Inabidi akomae sana asiiachie ligi kuu bongo, siku DSTV akiingia ligi kuu bongo Azam tv chali, ila niwapongeze tu wanashika no 2 kwa ukanda wetu nyuma ya DSTV, kwa bongo no. 1 wakifuatia star times (mchina naye anakomaa si mchezo)
 
Back
Top Bottom