Hiyo chagamoto ipo hata dstv kwa mfano down grading kifurushi mpaka uwapigie customer care, lingine dstv vifurushi viko juu kdgo imagine access in 23k lakini upati mipira ya epl yote ni match day 1 tu, isio kua na mvuto, jingine local league hamna kabisa.Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Hiyo chagamoto ipo hata dstv kwa mfano down grading kifurushi mpaka uwapigie customer care, lingine dstv vifurushi viko juu kdgo imagine access in 23k lakini upati mipira ya epl yote ni match day 1 tu, isio kua na mvuto, jingine local league hamna kabisa.

Dstv wana tamthilia nyingi sana afu ubora mzuri ie Mpali, Juakali, Huba etcWatu wa tamthilia za kiswahili hawatakuelewa[emoji16], DSTV wapo vizuri
Sasa wana premier league kwanini wasiringe?Dstv Wana Hadi offer ...ilikuwepo panda tukupandishe ... ilikuwepo ya kulipa nusu ....offa kila mara...
Dstv angalau mnaweza ongea ...Azam wao hawataki hata maongezi ...ukitaka kupanda baada ya siku tatu unatakiwa usamehe pesa yako sasa si wizi
DStv wako nextlevelSometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Azam TV ni wahuni. Kwangu king'amuzi kilifeli kikiwa bado kwenye warrant period. Nikakirudisha na wakaniaahidi ku replace. Nina juma la 2 bado sijapata.Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Azam TV ni wahuni. Kwangu king'amuzi kilifeli kikiwa bado kwenye warrant period. Nikakirudisha na wakaniaahidi ku replace. Nina juma la 2 bado sijapata.
Pili nilipouliza kuhusu muda niliolipia na sijaangalia utafidiwaje wamesema Haiwahusu.
Hawa Azam ni Takataka tu
Bora umejionea mwenyewe niliacha kutumia azam toka 2018 nikija Tanzania nagonga zangu DSTV Tu ving'amuzi vya wapumbavu sitakiSometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Kuwa na DSTV na utajiri wapi na wapi mkuuSawa tumeshajua wewe ni tajiri una Dstv[emoji41]
Siku hizi DSTV wana huduma nzuri sana. Kila mara wanapiga simu kukuhabarisha na kukupa feedback. Ile app yao ya MyDSTV nzuri unamaliza kila kitu humo humo hata error code unafix with a click of a buttonSometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...