DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

Uswahili mwingi
 
Siku zingine usijefananisha Dstv na madude mengine mkuu in any ways
 
Mimi ilimradi ninachokitaka napata kwenye dstv hao wengine waendelee tu
 
Azam tv kinacho wapa wateja ni ligi kuu ya Bongo lakin bila hivyo wasingekuwa na wateja.Azam tv ni takataka
Inabidi akomae sana asiiachie ligi kuu bongo, siku DSTV akiingia ligi kuu bongo Azam tv chali, ila niwapongeze tu wanashika no 2 kwa ukanda wetu nyuma ya DSTV, kwa bongo no. 1 wakifuatia star times (mchina naye anakomaa si mchezo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…