Mzungu anajali biashara.Mimi mtu wao WA call centre niliona ananipandishia sauti ...wakati nilikuwa mteja nataka kuongeza malipo nipande kifurushi.... nilishangaa Sana...
Wakati dstv wananipa maelekezo fast ya kupanda kifurushi
Basi peleka yakoBora mpali hyo huna na juakali hamna kitu
Azam wajanjaInabidi akomae sana asiiachie ligi kuu bongo, siku DSTV akiingia ligi kuu bongo Azam tv chali, ila niwapongeze tu wanashika no 2 kwa ukanda wetu nyuma ya DSTV, kwa bongo no. 1 wakifuatia star times (mchina naye anakomaa si mchezo)
Umesema vema kabisa. [emoji120][emoji122][emoji122][emoji122]Azam hata kutafuta kipindi cha kesho Saa Saba huwezi ...dstv naweza ona kipindi nikapata maelezo yake na kujua kesho kinarushwa Saa ngapi
2032 Dola Moja itakuwa sh 4000+Azam wajanja
Wamewashikisha TFF na Bodi ya Ligi miaka 10 kwa pesa ambayo hadi 2032 dollar 1 itakuwa 3000
Toa hiyo pesa tuile 😁Dstv customer care wako juu
Mteja unapigiwa simu kama mfalme
Majuzi hapa nimepigiwa simu nina akiba ya hela kwa akaunti ambayo hata sikuwa na taarifa nayo. Mambo ya mtandao nikajikuta nimenunua kifurushi mara 2.
Kongole kwao[emoji122]
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Maana yake TFF ana timu zitajikuta zinapokea pesa kidogo kuliko hivi sasa.2032 Dola Moja itakuwa sh 4000+
Imeshaungwa juu kwa juuToa hiyo pesa tuile 😁
Toka lini bloangu mbongo akawa na huduma nzuri,mi huku dstv sitokiSometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
MultichoiceSometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
Nimeteseka Sana na Azam TV ...kila nikitaka kubadili kifurushi...
Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi nilipe upya kifurushi nnachokitaka...kile cha zamani hata kama kimebakisha siku 25 nisamehe hela yangu...nimeshangaa Sana ..
Nishazoea dstv hata pesa ukizidisha inabaki Kwa akaunti na siku yoyote utakayo jisikia unabadili kifurushi kingine ..wanakupa hesabu unaongeza hela ......huduma za dstv ziko Bora Sana......Sana.....Azam bado uhuni mwingi sana
Sawa tumeshajua wewe ni tajiri una Dstv[emoji41]
Ushamba mwingi mno kuna DSTV kuna kifurushi cha 10,000 na unapata channel moja ya mpiraSawa tumeshajua wewe ni tajiri una Dstv[emoji41]
[emoji91][emoji91][emoji91]Azam hata kutafuta kipindi cha kesho Saa Saba huwezi ...dstv naweza ona kipindi nikapata maelezo yake na kujua kesho kinarushwa Saa ngapi