DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

Lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi yako,tunavyokuwa tunasifia ulaya Maisha mazuri Basi yatupasa kujua kuwa walivuja damu na jasho Hadi kufikia hapo!!
Tanzania ina fedha nyingi sana zinapotea kwa mambo ya kijinga. Waanze kubana matumizi huko. Mtu kama Kinana anapofanya ziara ni upotevu wa fedha tu na hakuna zaidi. Nchi ina viongozi kila sehemu yeye anakwenda kufanya nini mikoani? Kuna watu kama sijui makatibu wenezi nao ni upotofu wa fedha.
 
Back
Top Bottom