RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hii hata kwenye DStv imeondolewa.Mfano etv ile ya South Africa siku hizi haipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hata kwenye DStv imeondolewa.Mfano etv ile ya South Africa siku hizi haipo
Wewe Sasa unataka makonda wawabake dada zetu. Unajua konda anaweza kula mzigo Mboka huku gari lake likiwa linapakia pale CCM upande wa pili.Hizi tozo kwanini zisiwekwe kwa wale wa kimboka angalau wapungue..
EPL tu.Azam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
Bakhresa ana uwezo wa kupata ni figisu tu na wivu ndivyo vinamkosesha, nguvu ya pesa anayoAzam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
Unasema?Azam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
...Na Kwa Nini Hawaipewi???...Azam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
Umafia alioufanya azam kupata leseni ya kuonyesha ligi kuu Tz ndo umafia ule ule anaoufanya DSTV kuonyesha ligi kubwa duniani kama epl bila kubagua mechi na UCL. Dunia uwanja wa vita.Azam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
Vigezo na mashart Bado awajakizi...Na Kwa Nini Hawaipewi???...
Kwamba Azam ataonyesha EPL kwa bei ya sasa?Azam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
Wateja nao waangalie namna ya kuongeza bei ya uteja wao !!Wakati tozo za benki zikiwa bado moto, tozo za ving'amuzi inaanza rasmi Septemba 1 kwa Dstv kutangaza gharama mpya ya vifurushi. Hakika hatupumui.
View attachment 2332514
PIA SOMA
- BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi
---
DStv Wapinga na kutoa ufafanuzi
DSTV wamethibitisha kuwa vifurushi vimepanda lakini Tozo si sababu ya kupanda kwa bei.
View attachment 2332939
Zaidi Soma DSTV wakana tozo kuwa sababu ya kupandisha bei za vifurushi, wasema ni ongezeko la kawaida
Sifa yakwanza kabisa ya king'amuzi bora lazima kitumie Satellite inayo cover sehemu kubwaVigezo na mashart Bado awajakizi
Dstv amecover nchi zote zinazoongea English (Sub ya Dstv ni Gotv)
Beintv amecover nchi zote zinazoongea french.
Azam media upaja wake/msuli wake mdogo awezi kushindana na geant kama hao.