DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

Lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi yako,tunavyokuwa tunasifia ulaya Maisha mazuri Basi yatupasa kujua kuwa walivuja damu na jasho Hadi kufikia hapo!!
Kuna jamaa aliweka hio picha jana.
Screenshot_20220820-153813.jpg
 
Waje huku kwenye whatsapp,twitter na instagram wasisahau jamiiforums, 3000 Tshs per week sio mbaya, hujalipa tozo twitter,jf na hizo apps from meta tuzisikie tu.

Safi sana.
 
Azam TV kuna baadhi ya channels zinapungua kila uchao, changamoto hawasemi Ka imehamishiwa kifurushi kingine, ama wameacha kabsa kuirusha
 
Waje huku kwenye whatsapp,twitter na instagram wasisahau jamiiforums, 3000 Tshs per week sio mbaya, hujalipa tozo twitter,jf na hizo apps from meta tuzisikie tu.

Safi sana.
Kwenye social network wanatukamua kupitia bundle. Hakuna kwenye unafuu mkuu.
 
Back
Top Bottom