DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

Hizi tozo kwanini zisiwekwe kwa wale wa kimboka angalau wapungue..
Wewe Sasa unataka makonda wawabake dada zetu. Unajua konda anaweza kula mzigo Mboka huku gari lake likiwa linapakia pale CCM upande wa pili.
 
Labda serikali inahisi inayakomoa makampuni
 
Nimeiona SMS kwa TV wanasema kutakuwa na mabadiliko ya bei za vifurushi kuanzia September 1, 2022.
 
DSTv waliyumba sana kipindi cha nyuma kuhusiana na wateja kushindwa kumudu vifurushi vyao, wakajipiga wakakaa sawa, sasa serikali imewavuruga tena, inawezekana biashara ikawasumbua tena
 
Azam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
 
Azam media ikianza kupata license ya kuonyesha ligi kuu Bora 5 Duniani, ndio itakuwa mwisho wa Dstv Tanzania.
Umafia alioufanya azam kupata leseni ya kuonyesha ligi kuu Tz ndo umafia ule ule anaoufanya DSTV kuonyesha ligi kubwa duniani kama epl bila kubagua mechi na UCL. Dunia uwanja wa vita.
 
...Na Kwa Nini Hawaipewi???...
Vigezo na mashart Bado awajakizi

Dstv amecover nchi zote zinazoongea English (Sub ya Dstv ni Gotv)

Beintv amecover nchi zote zinazoongea french.

Azam media upaja wake/msuli wake mdogo awezi kushindana na geant kama hao.
 
Wateja nao waangalie namna ya kuongeza bei ya uteja wao !!
 
Vigezo na mashart Bado awajakizi

Dstv amecover nchi zote zinazoongea English (Sub ya Dstv ni Gotv)

Beintv amecover nchi zote zinazoongea french.

Azam media upaja wake/msuli wake mdogo awezi kushindana na geant kama hao.
Sifa yakwanza kabisa ya king'amuzi bora lazima kitumie Satellite inayo cover sehemu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…