Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kurudisha sahau ila utakuwa umelipia kifurushi kwa miezi miwili ila wapigie wathibitishe maana hawakawii kujisahaulisha na mark date of payment and end date of your subscription
Yan afadhali waniambie nmelipia miezi miwili nitawaelewa kuliko kutokupewa pesa kabisa. Usiku huu dstv hawafanyi kazi, CRDB wameniambia wanashughulika hvy kesho niwacheki tenaPole sana hapo utakuwa umelipia miezi miwili
Pesa kurudi sahau ila Subiri uthibitisho wa malipo ya miezi miwili hili ni jambo la msingi sana hakikisha imekuwa approved miezi miwili la sivyo watajisahulisha na ikishapita ndio ntoleeYan afadhali waniambie nmelipia miezi miwili nitawaelewa kuliko kutokupewa pesa kabisa. Usiku huu dstv hawafanyi kazi, CRDB wameniambia wanashughulika hvy kesho niwachek tena
Don't mention it. Kawaida tu!Shukrani bro
Crdb hata mawakala wao ni shidaNdugu zangu naombeni msaada, nimenunua kifurushi cha 21000 mara mbili kwa bahati mbaya mana nimetumia app ya CRDB, mara ya kwanza imeonyesha kama muamala umeshindikana ndipo nikanunua kwa mara ya pili ikakubali, nilipoangalia salio na nilipoangalia miamala ya mwisho inaonyesha nimenunua kifurushi mara mbili. Na kwenye app inaonyesha miamala ni miwili ila kwenye sms ya kawaida wamenitumia risiti ya muamala mmoja.
Naombeni kujua hapo niwasiliane na nani ili pesa yangu irudi.
Rubbish spermsKwanini mnaendekeza anasa kwa kununua hivi vifurushi wakati huu uchumi umedorora na mfumuko wa bei?! Haileti picha nzuri kwa tabaka lingine ambalo ni less unfortunate struggling to make ends meet wakiwaona mnaendekeza anasa. SI muwe wavumilivu tu Hadi vita ya Ukraine iishe na hali ijirudie ilivyokuwa awali?
Jitafakarini asee!
Kwanini mnaendekeza anasa kwa kununua hivi vifurushi wakati huu uchumi umedorora na mfumuko wa bei?! Haileti picha nzuri kwa tabaka lingine ambalo ni less unfortunate struggling to make ends meet wakiwaona mnaendekeza anasa. SI muwe wavumilivu tu Hadi vita ya Ukraine iishe na hali ijirudie ilivyokuwa awali?
Jitafakarini asee!
Duu MUNGU akusaidie Tu akubadilishe moyo huu ulio naoKwanini mnaendekeza anasa kwa kununua hivi vifurushi wakati huu uchumi umedorora na mfumuko wa bei?! Haileti picha nzuri kwa tabaka lingine ambalo ni less unfortunate struggling to make ends meet wakiwaona mnaendekeza anasa. SI muwe wavumilivu tu Hadi vita ya Ukraine iishe na hali ijirudie ilivyokuwa awali?
Jitafakarini asee!
Mkuu wanaweza pia kuirudisha maana kuna siku niliwapigia na issue nyingine walinipa option mbili.DStv hawana njaa saana kama mitandao yetu ya simu hiyo pesa IPO kwenye account yako ya DStv hata ukiwapigia simu hawana wapo fasta Sana kupokea.
hiyo hela utaunganishwa Kwa mwezi mwingine ondoa shaka
Kama umelipa mara mbili, hutalipa mwezi wa pili yake. Iache hivyohovyoNdugu zangu naombeni msaada, nimenunua kifurushi cha 21000 mara mbili kwa bahati mbaya mana nimetumia app ya CRDB, mara ya kwanza imeonyesha kama muamala umeshindikana ndipo nikanunua kwa mara ya pili ikakubali, nilipoangalia salio na nilipoangalia miamala ya mwisho inaonyesha nimenunua kifurushi mara mbili. Na kwenye app inaonyesha miamala ni miwili ila kwenye sms ya kawaida wamenitumia risiti ya muamala mmoja.
Naombeni kujua hapo niwasiliane na nani ili pesa yangu irudi.
Dstv wako vizuri sana, ukitaka weka ha milioni mbili kwenye account yako ya Dstv, kila kifurushi kikitaka kuisha wao ndiyo wanakupigia simu kukuuliza, wakuunganishie cha shilingi ngapi?Yan afadhali waniambie nmelipia miezi miwili nitawaelewa kuliko kutokupewa pesa kabisa. Usiku huu dstv hawafanyi kazi, CRDB wameniambia wanashughulika hvy kesho niwachek tena
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia Ndo hicho haswa nilikuwa nang'ang'ania na kusumbuka kutafuta.Rubbish sp