Dstv wanaweza kurudisha pesa kama umenunua kifurushi mara mbili?

Dstv wanaweza kurudisha pesa kama umenunua kifurushi mara mbili?

Unapofanya muamala Kwa simu, kama network, au application inasumbua au hunielewi elewi Kwa muda huo, usirudie muamala subiri dakika kumi na tano zipite
 
Mrejesho.
DSTV wamesema wao wamepata muamala mmoja, CRDB wamesema nimefanya miamala miwili lakini wanashughulikia ili muamala/pesa nyingine irudi kwangu ifikapo kesho.
 
Back
Top Bottom