Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #181
View attachment 1558001
[emoji23] Hapa ndo burudani inapatikana, Dstv tupa kuleee. [emoji16]
[emoji91][emoji91][emoji91]vp ulifanikiwa kusajili
Mkuu Mwanza mnapatikana sehemu gani?Mwanza boss
Mkuu Mwanza mnapatikana sehemu gani?
Nisaidia number ya simu niwacheki mkuuLumumba street
Nisaidia number ya simu niwacheki mkuu
Nipo MwanzaHiki kingβamuzi huku utapigwa bei ukienda kichwa kichwa[emoji23] huku wanauza hadi 300k
Wewe uko wapi?
Nipo Mwanza
Kuanzia mwezi huu TBCCM sio free kwa DStv.Naonaga ajabu kuona eti TBC1 ni free ktk dstv ika ZBC ni kulipia ππππππ
π ππππ Niko na mpango dishi lao nilifungue au nitafute sattelite decoder nyingine lkn nifungie dishi la dstvKuanzia mwezi huu TBCCM sio free kwa DStv.