Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Naonaga ajabu kuona eti TBC1 ni free ktk dstv ika ZBC ni kulipia 😂😂😂😂😂😂
 
Kuna mtu wa DStv. Humu nimuulize kwanini support team ya sasa Ni mbovu haijawahi kutokea?
 
Anaetaka access ya DStv Now aje jamani kifurushi ni compact weekend hii mechi kibao Premier League live ! Seria A na La Liga ,achana na mambo ya banda umiza

Utanipoza hata hela ya bia mbili tu
 
Back
Top Bottom