Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
hata dstv hawana vifaa vya kisasa kuonesha mpira wa Bongo vizuri,Ifike hatua dstv wapewe na license ya kuonesha mpira wa bongo ..sio vile anavyotonesha azam ili kuongeza ushindani maana mechi ya mchana kama jioni.
hata dstv hawana vifaa vya kisasa kuonesha mpira wa Bongo vizuri,
ukiona ligi ya uingereza ama Uefa inapendeza usidhani ni kazi ya DSTV bali ni ligi husika zimesharecord wao wanapewa tu video.
ligi yetu ikianzisha mifumo ya kuweka camera za kisasa kwenye viwanja sio Azam tu chanell yoyote itakayochukua haki itaonesha vizuri.
mkuu south Africa wameandaa hadi world cup sio wenzetu wale, wanatumia hadi spider cam ambazo zinatumika pia ligi ya uingereza, hivyo bila supersport wana miundombinu tayari,Ligi ya South Africa dstv wako na license yote hawanunui matangazo kama ya uefa ua ligi zingine mbona inaonekana vizuri chief.
TFF wameuza haki ya matangazo kwa Azam...Hapa ndipo TFF wanapo kosa fedha nyingiIfike hatua dstv wapewe na license ya kuonesha mpira wa bongo ..sio vile anavyotonesha azam ili kuongeza ushindani maana mechi ya mchana kama jioni.
Bomba hata UEFA Ina tupita upandeIlikuwa 19,000, ila sasa wameongeza 900 = 19,900.
Korona hii ni kushusha bei siyo kupandishaMwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171
Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
mkuu south Africa wameandaa hadi world cup sio wenzetu wale, wanatumia hadi spider cam ambazo zinatumika pia ligi ya uingereza, hivyo bila supersport wana miundombinu tayari,
kwani Azam la liga inaonesha Vibaya?
TFF wameuza haki ya matangazo kwa Azam...Hapa ndipo TFF wanapo kosa fedha nyingi
Tokaelfu 44 hadi 49 ni parefu duh... Ila nitarechaji kwakuwa Arsenal anacheza Europa Cup, poa tu
kwahiyo bomba wangeweka 500000 kwakuwa tuko uchumi wa katiSawa si tumeingia Uchumi wa kati.
Dstv hawafanyi production ya mechi za EPLLigi ya South Africa dstv wako na license yote hawanunui matangazo kama ya uefa ua ligi zingine mbona inaonekana vizuri chief.
Wapenzi wa NBA hapa mmetendewa hakiMsimu ulioisha hawakuwa na rights za kuonesha Futuhi sorry, Europa. Sina uhakika kama msimu huu watakuwa wamepata.
So far, kwa ESPN kurudi, binafsi nitakuwa mteja rasmi tena.
Wapenzi wa NBA hapa mmetendewa hakiMsimu ulioisha hawakuwa na rights za kuonesha Futuhi sorry, Europa. Sina uhakika kama msimu huu watakuwa wamepata.
So far, kwa ESPN kurudi, binafsi nitakuwa mteja rasmi tena.
Wapenzi wa NBA hapa mmetendewa haki
Azam walianza vizuri ila sasa hivi uonyeshaji wao sio mzuri badala ya kuonyesha mpira camera zao zinalenga watu wao mara watuonyeshe wafanyakazi wao hawafahamu wenzao ni muda gani wanaonyesha matukio kama hayoIfike hatua dstv wapewe na license ya kuonesha mpira wa bongo ..sio vile anavyotonesha azam ili kuongeza ushindani maana mechi ya mchana kama jioni.
Azam walianza vizuri ila sasa hivi uonyeshaji wao sio mzuri badala ya kuonyesha mpira camera zao zinalenga watu wao mara watuonyeshe wafanyakazi wao hawafahamu wenzao ni muda gani wanaonyesha matukio kama hayo
MultiChoice hawana leseni/kibali cha kuonesha Europa msimu huu, labda msimu ujao ambao Arsenal watakuwemo.Tokaelfu 44 hadi 49 ni parefu duh... Ila nitarechaji kwakuwa Arsenal anacheza Europa Cup, poa tu