Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Kwa sasa tunaweza kuangalia kwa amani bila yale matangazo ya chapatiHatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.
Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.
DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha matangazo hayo huku wengine wakiwa ni Canal Sports pamoja na Bein Sports
Motsepeameupiga mwingi!!
Mwaka Juzi waliweka kwenye kifurushi cha 10,000/=Kifurushi cha kuangalia mpira ni tsh ngapi?
Duuuu mkuu...mwaka juzi!!!Mwaka Juzi waliweka kwenye kifurushi cha 10,000/=
...tungeikimbiaNikazan azam kaondolewa,mambo yangekuwa magumu zaidi
Mbona ni misimu yote huwa wanaonyesha kuanzia hatua ya makundi?
muda wote unawaza kuutoumberner tu.DSTV wachukue na haki ya kuonyesha X
miaka 2 iliyopita baada ya kuikosa game ya simba vs wydad away marudio yake niliyaangalia kupitia dstv hii iliwezekanaje?Hapana kwa msimu ulioisha DSTV hawakuwa kabisa na mashindano ya CAF upande wa vilabu
Habari hii nimeipokea kwa furaha sana kwani hapa nilipo Kampala nilikuwa napata shida kutizima hizi Mechi kwakuwa King'amuzi changu cha Dstv kilikuwa hakionyeshi hizo Mechi na badala yake nilikuwa nalazimika kutizama tu kwa kupitia YouTube au kuishia tu kutizama Magoli yalivyofungwa. Heko sana Dstv na sasa ni mwendo wa Furaha tu.Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.
Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.
DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha matangazo hayo huku wengine wakiwa ni Canal Sports pamoja na Bein Sports
Motsepeameupiga mwingi!!