DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.

Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.

DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha matangazo hayo huku wengine wakiwa ni Canal Sports pamoja na Bein Sports

Motsepeameupiga mwingi!!
 
Kwa sasa tunaweza kuangalia kwa amani bila yale matangazo ya chapati
 
Hapana kwa msimu ulioisha DSTV hawakuwa kabisa na mashindano ya CAF upande wa vilabu
miaka 2 iliyopita baada ya kuikosa game ya simba vs wydad away marudio yake niliyaangalia kupitia dstv hii iliwezekanaje?
 
Mimi naongelea msimu wa 2023-2024. Mechi hazikuoeshwa DSTV kupitia chanel zao za Super sports.
 
Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.

Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.

DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha matangazo hayo huku wengine wakiwa ni Canal Sports pamoja na Bein Sports

Motsepeameupiga mwingi!!
Habari hii nimeipokea kwa furaha sana kwani hapa nilipo Kampala nilikuwa napata shida kutizima hizi Mechi kwakuwa King'amuzi changu cha Dstv kilikuwa hakionyeshi hizo Mechi na badala yake nilikuwa nalazimika kutizama tu kwa kupitia YouTube au kuishia tu kutizama Magoli yalivyofungwa. Heko sana Dstv na sasa ni mwendo wa Furaha tu.
 
Back
Top Bottom