DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Kabisa ,ukitaka kujua ni chawa,umeona alivyonijia juu
Ana hasira kama ana hisa Dstv
Atakuwa na matatizo kichwani sio bure. Aje asome huku aone DSTV inavyokimbiwa na watu duniani kote

 
Tunawapataje hao? Tuachane na Dstv

👇
👆
Mkuu umeipataje BeinSport na Yes Pac?
1. Unaweza kununua dikoda zao ukiweza ukaagiza mtu anayekwenda nchi za kiarabu/mashariki ya kati kisha unatafuta fundi anayejua kufunga dish za fta kisha ukawa unalipia online

2.Majibu mengine angalia post namba #194 ya Atn
 
Bado mnatumia sijui ma DStv sijui Azan?
Mimi natumia Cable kuangalia chaneli zote napata epl uefa zote naangalia. Mpira wa bongo siutaki kabisa hata kuangalia unaweza kutapika. Kwa mwezi nalipia cable 15,000. Sisi wa mikoani tuna enjoy sana.
Wapi naweza kupata cable mkuu?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…