Kabisa, TV tunaweka free apk zipo nyingi mno, halafu nastream na 4 gKatika sababu walizoziweka wamesahau sababu moja ambayo ni ukuaji wa matumizi ya internet...
Ukishakuwa na internet ya kasi na yenye gharama nafuu, DSTV inakuwa kama option B...
Mfano yaccine tv apk