DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Napata mechi zote ninazopenda. Siangalii kila mechi hata ingekuwa bure.
Kwa 60000 sizani kama unangalia mechi zote za EPL.

Ila sijui kwako labda nafuu ila kwangu maona nafuu ,bando lina ni cost karibia 80-100k so kwa hiki kirouter kina ni saidia kusave.Halafu uzuri wake nakuwa na choice ya vitu vingi mda wowote na angalia nikitakacho. Vilevile nina safiri nacho mdo wowote na sehemu yyt napata burudani.
 
Compact unaona game yoyote ya EPL uitakayo ila ECL ndio kuna baadhi ya mechi huwezi kuona.
Compact plus unaona ECL zote.
 
Na bado, cha maana hakuna wamebaki na EPL tu.
Nilikuwa siikubali Azam ila nitahamia, kama ni EPL nitastream live basi.

Epl huwezi ku stream live mechi zote.

Wanatoa mechi chache bure.

Mimi zaidi ya mwaka silipii kingamuzi chochote.

Nimefunga unlimited internert na Nimenunua smart Tv box . Youtube na Netflix ndio imekuwa tunatazama huko.

Youtube ina kila kitu
 
Shida haya makwasukwasu hata channel zao vitu vinajirudia sana

Channel kama CBS reality, E!, realtime vitu vinajirudia mno unajikuta channel zipo nyingi lakini ukitoa mpira hamna jipya
 
Epl huwezi ku stream live mechi zote.

Wanatoa mechi chache bure.

Mimi zaidi ya mwaka silipii kingamuzi chochote.

Nimefunga unlimited internert na Nimenunua smart Tv box . Youtube na Netflix ndio imekuwa tunatazama huko.

Youtube ina kila kitu
Ungeuliza kwanza sio kusema huwezi, hakuna mechi ambayo sijawahi kuipata nikitaka kustream live, hata zote zikiwa muda mmoja ni mimi tu kuchagua ya kuangalia.
 
Mzee acha uongo hiyo option unaipata wap maana wote tuna DStv au Yako ni special kuhusu Azam tunaopenda mpira wa bongo tunalipia na kufaid burudan
Ni kweli wameanzisha hii huduma na mm niliiona walinitumia sms kwenye kifurushi (sio kwenye simu)
 
DSTV inatakiwa ajipange hasa ukanda huu wa jangwa la Sahara,Mchina (Star Media) inakuja kwa kasi sana, sasa hivi mashindano yote yanayomilikiwa na Caf ameyashika sana,na Star times akisema anaonyesha mashindano yoyote huwa haachi hata mechi moja
Star times inakuja kwa kasi sana halafu garama zake ni mserereko
We fikikilia unatazama mechi zote za Afcon, Caf champions league na caf Confederation cup kwa TSH 23000 ambayo hakuna kampuni yoyote inayotoza kwa bei hiyo
Porojo hizi!
 
Back
Top Bottom