DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Ukipata kirouter chako cha Voda mechi zote unastream, mabando unaachana nayo. Hawa jamaa wajiadae na siku hizi voda/airtel/tigo hivi virouter vyao wanavipigia promo.
 
Kwa laki moja unaweza paga gb ngapi kwa hizo router za vodacom
 
Kwa voda ukikipata unalipia 120k unlimited mwezi mzima na speed ya kutosha. Kwangu itakuwa nzuri kwani mzigoni net ipo free na nyumbani nikiwa nayo nitakuwa nimesave gharama nyingi. Hizi gharama za mabando nitaziepuka, mechi za ligi zote,movie unastream tu online.Vilevile unaweza safiri nacho.
 
Hii mukide kabksaa kitu unlimited ndio mpango mzima....aise wanauzaje hizo router
 
Kwa Voda mpaka na kipata ilinitoka 280k,ila unaweza kwenda ofisi zao watakusaidia ila kinasave sana gharama.Juzi nimestream mechi ya Antony Joshua vs Otto,Deontay vs Parker yaani kitonga.Imepunguza sana gharama za mabando,sasa hivi nanunua voice na sms basi, ila mwanzoni kwa mwezi karibia 100k inakatika kwa bando, bado hapo hujalipia king'amuzi.
 
Kwa mwezi bei gani?
Voda mi nilisajili Router ya 5G ni unyama sana speed ya 50Mbps. Kwa kuanza unalipa deposit ya 300,000 kisha unafunguliwa data mwezi mzima. Upon renewal unalipia laki na nusu kila mwezi kwa muendelezo. Ila nzuri sana hata kwa wale wenye ma smart TVs zinaweza kuwa na uhai kupitia hizo routers.
 
Nilitaka nisikie hio bei yenye unafuu kuliko DSTV, mimi natumia ya kawaida tu 85,000 kwa mwezi. Natumia kwa kazi ofisini nq nyumbani kwenye Netflix etc
 
Dstv ni ya kina mama na watoto ni moja wapo ya vitu ambavyo havina faida kwenye mwili wa binadamu timamu.
Hebu jiheshimu mkuu. Sasa hivi naangalia Arsenal vs Liverpool ikiisha naangalia NBA Spurs vs Cavaliers ikiisha namaliza na game ya Barcelona. Hivi ndio vitu vinatusaidia wengine tutulie nyumbani.
 
Hapa mtaani kwangu naona hayo madish ya blue yapo mengi ila utakuta mengine yanataza juu mengine kusini au Kaskazini Magharibi kuashiria ni mapambo tu.😁

Kupoteza wateja au kupunguza gharama watu wamudu kulipia.
 
Back
Top Bottom