DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Du! ujinga huu waliofanya DSTV ni zaidi ya ule ujinga wa Magufuli kuwakamia wafanyabiashara hadi wakafunga biashara na kupelekea uchumi kudorora. Na baada ya uchumi kudorora akaamua kukimbilia kukopa matrioni ya pesa hivyo kuiingiza nchi kwenye mzigo mkubwa wa madeni unaotuumiza vichwa hadi sasa. Mungu anamuona.
mkuu wangu mungu anakuona
 
Vifurushi vya DStv zilipanda Kwa Africa nzima sio Tanzania Tu hii imetokana na kupanda Kwa Dola hata hivyo wao wenyewe DStv wapo mbioni kubadilisha Makato ...
Toka December wameanza kutoa ofa mbalimbali za vifurushi
DSTV kwa ujio wa Streaming wanapoteza wateja kila kukicha Afrika kote.2024 Netflix na Amazon Prime wanaanza Services zao South Africa ambako ndo base kubwa ya DSTV kwa Afrika nzima.DSTV Wana miaka 3 mbele kabla Awajafungasha vilago na kutoka kwenye ulimwengu wa Pay TV.Either na yeye aanzishe Streaming Services na aje na Bei nzuri vinginevyo atoboi
 
Kwa maelezo yako ni kweli DStv anatakiwa kujipanga upya..
Gharama za streaming live za netflix na Amazon zipoje? Kama zitakuwa chini wengi tutakimbilia huko
 
DSTV inatakiwa ajipange hasa ukanda huu wa jangwa la Sahara,Mchina (Star Media) inakuja kwa kasi sana, sasa hivi mashindano yote yanayomilikiwa na Caf ameyashika sana,na Star times akisema anaonyesha mashindano yoyote huwa haachi hata mechi moja
Star times inakuja kwa kasi sana halafu garama zake ni mserereko
We fikikilia unatazama mechi zote za Afcon, Caf champions league na caf Confederation cup kwa TSH 23000 ambayo hakuna kampuni yoyote inayotoza kwa bei hiyo
 
Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne.

Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote iliyoyapanga lakini mazingira inayofanyia kazi yametawaliwa na kukatika katika kwa umeme, presha kwenye gharama za kuishi na kushuka kwa thamani ya pesa katika nchi walizopo dhidi ya dola.

Mwaka huu channel maarufu ya michezo ya supersport itashindwa kuonesha michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza January 13 nchini Ivory Coast. Mwezi uliopita shirikisho la mpira wa miguu Afrika liliingia mkataba wa haki za matangazo kwa miaka miwili na kampuni kutoka nchini Togo ya New World TV iliyoanzishwa mwaka 2015.

Ni mwanzo wa mwisho wa utawala wa DSTV kusini mwa Afrika? Bado DSTV ni moja ya nguli wa kurusha matangazo barani Afrika huku kampuni zake mbili za DSTV na GoTV zikiwa na visimbusi milioni 23 vilivyo hai kwenye nchi 50 barani Afrika.
Dstv S.A itakufa na ndiko walipokuwa na wateja wengi. Unaambiwa watu wanahamia kwenye TV mtandao sasa hivi.
 
Du! ujinga huu waliofanya DSTV ni zaidi ya ule ujinga wa Magufuli kuwakamia wafanyabiashara hadi wakafunga biashara na kupelekea uchumi kudorora. Na baada ya uchumi kudorora akaamua kukimbilia kukopa matrioni ya pesa hivyo kuiingiza nchi kwenye mzigo mkubwa wa madeni unaotuumiza vichwa hadi sasa. Mungu anamuona.
Mumbwa wewe!
Huyo Magufuli bado yupo?
Serikali mbona inakopa mara 5 zaidi ya Magufuli na maisha yanazidi kuwa magumu?
Au unazani wote ni mazuzu km wewe.
Tupe mfano wa hayo matrilioni aliyokopa Magufuli mimi nikueleze matrilioni aliyokopa Samia.
 
Wewe kiazi kweli. Kwa hiyo hata kama hayupo kwani alipokufa alikufa na madeni yake?
 
Back
Top Bottom