DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Screenshot_20240108-220641.jpg
 
Kabisa ,ukitaka kujua ni chawa,umeona alivyonijia juu
Ana hasira kama ana hisa Dstv
Atakuwa na matatizo kichwani sio bure. Aje asome huku aone DSTV inavyokimbiwa na watu duniani kote

 
Tunawapataje hao? Tuachane na Dstv

👇
Hizo sababu za kupoteza wateja ni uongo wameogopa wakiongea ukweli, watu watataka kujua zaidi kuhusu huo ukweli. Ni hivi, teknolojia imesababisha wao kupoteza wateja kwa namna zifuatazo
  1. Watu wanatumia smarttv kustream mechi, japo TV nyingi zinakuja na lock kwenye playstore ili usidownload apk muhimu. Ukipakua apk mfano yaccine ukiweka kwenye flash mbona unainstall vizuri tu, na bila kuilipia apk ni wewe na bando tu.
  2. Fiber na wifi za maofisini
    Watu wanatumia hizo kutazama wakitakacho kwa bei nafuu. Mfano fiber unakuta kwa mwezi ni elfu 70-80, Dstv lazima iwe kampuni.
  3. Ving'amuzi vyenye kurusha mpira, movies sawa na wao vyenye bei nafuu ni vingi. Mfano canal + elf 40-45 mtu anaona epl, uefa, laliga, bundas (DStv hana), ligue 1( Dstv hana), pia bein media wana malipo mazuri kuliko DStv iliyo chini ya makaburu,na makaburu anapenda faida kupindukia,lazima apigwe chini
  4. Vipokezi visivyo rasmi, hii ndio nafuu mnooooo, mfano watu duniani wanatumia kama starsat, ghost, freesat, mediastar na tiger

    Ingia Google mtaona hata utendaji kazi, mfano kuna kulipia mwaka mzima elfu 35-38 na unafungua canal chanel zozote, Dstv, bein kwa ujinga utalipa Dstv mwaka milion na zaidi kweli?

    Pia mtu anatumia Tsh 500 / mia tano kustream mechi, movies documentary nk kwa mwezi mfano mechi dkk 90 anatumia mb 2-3

    DStv ya nini?
    DStv watazidi kupoteza nawaambieni chawa ambao mpo huku ili kufanikisha DStv capital outflow
👆
Mkuu umeipataje BeinSport na Yes Pac?
1. Unaweza kununua dikoda zao ukiweza ukaagiza mtu anayekwenda nchi za kiarabu/mashariki ya kati kisha unatafuta fundi anayejua kufunga dish za fta kisha ukawa unalipia online

2.Majibu mengine angalia post namba #194 ya Atn
 
Bado mnatumia sijui ma DStv sijui Azan?
Mimi natumia Cable kuangalia chaneli zote napata epl uefa zote naangalia. Mpira wa bongo siutaki kabisa hata kuangalia unaweza kutapika. Kwa mwezi nalipia cable 15,000. Sisi wa mikoani tuna enjoy sana.
Wapi naweza kupata cable mkuu?
 
AFCON nayo wameshindwaa kuonyeshaaa yani washakuwaa mbwaa hawaa...Azam akiweza kuonesha EPL aiseee dstv anazikwaaa akiwa haiii maana hata hizo channel za movie ni ushuzi mtupuuu unalipa elfu 60 channel ya movie kila siku ni hizo hizooo yani EPL ikija azam nahama jumlaaa.
20240113_212512.jpg
 
Back
Top Bottom