E
eEe tena ,HD au 4kMechi y dakika 90 Kwa mb2?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eEe tena ,HD au 4kMechi y dakika 90 Kwa mb2?
Mastori ya picha zilizotasfiriwa kwa kiswahili na mastori ya kituriki yana low quality kinyamaAzam Wana vipind vizuri na documentary zipo Mzee lipia Cha 35000 unapata kuhusu Quality ya picha labda tv Yako tu mbona tunapata kitu Bora
Azam walete HD, wasilete mapicha mabovu ya KiswahiliHaijaanza leo nina miaka zaidi y mitano nalipiaga kila nikifanya muamal mkubwa wa fedha kiasi kinachobaki kama kinazidi jero hua nalipia dstv
Naona wameona wateja wanakimbia mnoWameyataka wenyewe, utapandishaje vifirusho kijinga jinga, wezi hui wamejirudi, kifurushi cha 24,000 ukilipa wanakupa cha 34,000 wanajipendekeza
Wengi wanajua Dstv ni alfa na omega kwa mpira Afrika
Kabisa ,ukitaka kujua ni chawa,umeona alivyonijia juuPunguza uchawa vinginevyo utaendelea kupumuliwa na wanaume wenxako hadi mduku upanuke kama caldera.
Atakuwa na matatizo kichwani sio bure. Aje asome huku aone DSTV inavyokimbiwa na watu duniani koteKabisa ,ukitaka kujua ni chawa,umeona alivyonijia juu
Ana hasira kama ana hisa Dstv
Tunawapataje hao? Tuachane na Dstv
👆Hizo sababu za kupoteza wateja ni uongo wameogopa wakiongea ukweli, watu watataka kujua zaidi kuhusu huo ukweli. Ni hivi, teknolojia imesababisha wao kupoteza wateja kwa namna zifuatazo
- Watu wanatumia smarttv kustream mechi, japo TV nyingi zinakuja na lock kwenye playstore ili usidownload apk muhimu. Ukipakua apk mfano yaccine ukiweka kwenye flash mbona unainstall vizuri tu, na bila kuilipia apk ni wewe na bando tu.
- Fiber na wifi za maofisini
Watu wanatumia hizo kutazama wakitakacho kwa bei nafuu. Mfano fiber unakuta kwa mwezi ni elfu 70-80, Dstv lazima iwe kampuni.- Ving'amuzi vyenye kurusha mpira, movies sawa na wao vyenye bei nafuu ni vingi. Mfano canal + elf 40-45 mtu anaona epl, uefa, laliga, bundas (DStv hana), ligue 1( Dstv hana), pia bein media wana malipo mazuri kuliko DStv iliyo chini ya makaburu,na makaburu anapenda faida kupindukia,lazima apigwe chini
- Vipokezi visivyo rasmi, hii ndio nafuu mnooooo, mfano watu duniani wanatumia kama starsat, ghost, freesat, mediastar na tiger
Ingia Google mtaona hata utendaji kazi, mfano kuna kulipia mwaka mzima elfu 35-38 na unafungua canal chanel zozote, Dstv, bein kwa ujinga utalipa Dstv mwaka milion na zaidi kweli?
Pia mtu anatumia Tsh 500 / mia tano kustream mechi, movies documentary nk kwa mwezi mfano mechi dkk 90 anatumia mb 2-3
DStv ya nini?
DStv watazidi kupoteza nawaambieni chawa ambao mpo huku ili kufanikisha DStv capital outflow
1. Unaweza kununua dikoda zao ukiweza ukaagiza mtu anayekwenda nchi za kiarabu/mashariki ya kati kisha unatafuta fundi anayejua kufunga dish za fta kisha ukawa unalipia onlineMkuu umeipataje BeinSport na Yes Pac?
Wapi naweza kupata cable mkuu?Bado mnatumia sijui ma DStv sijui Azan?
Mimi natumia Cable kuangalia chaneli zote napata epl uefa zote naangalia. Mpira wa bongo siutaki kabisa hata kuangalia unaweza kutapika. Kwa mwezi nalipia cable 15,000. Sisi wa mikoani tuna enjoy sana.
Kabisa ndugu, wewe ni FTA mwenzangu, nikiona mtu ananunua DStv huku uwezo hana namshangaa, ndio wengi Dstv ni pambo la nyumba
Nimetoa maelezo kwa kifupi comment za juuHiyo ya pili imekaaje Mkuu?
Asante sanaNimetoa maelezo kwa kifupi comment za juu
Wataelewa tu taratibu dunia inakwendaje.
Wataelewa tu taratibu dunia inakwendaje.
AFCON nayo wameshindwaa kuonyeshaaa yani washakuwaa mbwaa hawaa...Azam akiweza kuonesha EPL aiseee dstv anazikwaaa akiwa haiii maana hata hizo channel za movie ni ushuzi mtupuuu unalipa elfu 60 channel ya movie kila siku ni hizo hizooo yani EPL ikija azam nahama jumlaaa.