DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Katika sababu walizoziweka wamesahau sababu moja ambayo ni ukuaji wa matumizi ya internet...

Ukishakuwa na internet ya kasi na yenye gharama nafuu, DSTV inakuwa kama option B...
Kabisa, TV tunaweka free apk zipo nyingi mno, halafu nastream na 4 g
Mfano yaccine tv apk
 
Kuna upigaji pia kwenye vipindi vyao. Channel za maana kwa wabongo ni 158 na 160 pamoja na zile za FTA ( loca). Na wabongo wengi wanalipia nwisho elfu 35 hivi kwa mwezi. Zile chanel za juu hazina wateja
 
Tupeni elimu basi
Nifuate inbox free kabisa
Mbona bei ya vifurushi DSTV ni ya kawaida tu? Anyway.... Watu wanalalamika tu bure. Hivi inawezekanaje mtu nina DSTV EXPLORE nishindwe lipia kifurushi cha 100, 000 plus?
ya kawaida kwako ,wengi tupo canal na bein,na tunaona ligi nyingi kuzidi Dstv
Nilipie 105000 Dstv nikose bundasliga,ligue 1 caf,nk wakati 40000 canal napata vyoooote
 
Buku tano ni nyingi sana anyway hata azam kapandisha vifurushi nahisi wao wameongeeza elfu mbili au tatu mimi nilishaachaga kulipia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…