DSTV yaondoa chaneli za Urusi kwenye king'amuzi chake Afrika

Mrusi kama kweli mbabe kiteknolojia azirudishe hewani jinga kubwa arudishe hata Free To Air yaani FTA kama anajitia babe

Wanaume wanemfungia hana ubavu wa kurudisha hewani
Arudishe kwani hio ni kampuni yake? wanaoitaka RT wanaipata
 
Mrusi kama kweli mbabe kiteknolojia azirudishe hewani jinga kubwa arudishe hata Free To Air yaani FTA kama anajitia babe

Wanaume wanemfungia hana ubavu wa kurudisha hewani
Umekoment kama mwanamke WA kimakomde anayengojea kuposwa
 
Nani anaitaka ulishawahi ONA mtu mwenye haja na kiti cha kirusi kwa aia iwe gari mdogo kubwa au basi au komputa ,bodaboda,au baiskeli toka urusi? Ndio yawe hayo matv yake?

Wahitaji tupo
 
Walau hawa wako huru. Soon ila watapigwa mkwara na wamagharibi na bwana wao mkuu wa maasi Marekani.
AL Jazeera sio chombo huru.. Wao nao ni Western bull horn.. Walishashikishwa adabu wakati wa vita vya Iraq.. Walishambuliwa studio zao na makombora ya Marekani.. Wakasalim amri. Qatar na ufalme wake kama ilivyo Saudia ni VIBARAKA wa Marekani.
Hawawezi kwenda against nao.

Mpaka umeona AL Jazeera ipo inaonekana mpaka leo ni kwa sababu imekubaliana na Marekani kusambaza interest na western propaganda.. Vinginevyo ingekuwa ilishafutiliwa mbali zamani.
 
Hebu na sisi pia tu-balance stori, Russia nayo imepitisha sheria mbovu ya kuwabana waandishi wa habari kwa kudai kwamba atakayetoa taarifa ya vita isiyoipendezesha serikali anaweza kufungwa hadi miaka 15 gerezani.

Kwa hiyo kama ni kuminya upatikanaji wa habari basi isiwe mkuki kwa nguruwe 🐷
 
Nadhani huijui vizuri AL Jazeera. Kama ingekuwa ni chombo kinachoonesha Habari za ukweli basi. Marekani angeshakipatilizia mbali. Kipo hai mpaka sasa kwakua ni sehemu ya Western propaganda tool.
Habari za ukweli ziliishiaga 2003 wakati wa vita vya Iraq.. Walishikishwa adabu wakaanza kufuata maelekezo ya USA tuu.

Kuna makala iliwahi we kwa humu.. Hakuna chombo chochote cha Habari western ambacho hakina editor kutoka CIA.. Ikiwemo AL Jazeera.. Vinginevyo isingekuwepo.
 
Sio yeye TU, Hadi azam wameondoa
Sijajua uko startimes Hali vipi?
 
Sio yeye TU, Hadi azam wameondoa
Sijajua uko startimes Hali vipi?
Mrusi anajidai tu na mibavu koko lakini nchi za Magharibi kiteknolijia wamemwacha mbali mno ndio maana hadi TV zake za bure hewani wanamzimia na hawezi kurudisha.

Wanamchezea kama dola kiteknolojia na hajiwezi hadi mi website yake wameizima isionekane nje ya Urusi anabweka tu hana uwezo wa kurudisha website zake zisionekane dunia nzima!! Anabaki tu kurusha mirisasi kama mwehu hajui dunia ya sasa hata iko wapi
 
Arudishe kwani hio ni kampuni yake? wanaoitaka RT wanaipata
Nani anaitaka ulishawahi ONA mtu mwenye hata na kiti cha kirusi au iwe gari mdogo kubwa au basi au komputa, bodaboda au baiskeli toka Urusi? Ndio yawe hayo matv yake?

Hakuna nchi duniani yenye uwezo wa kurudisha hizo TV za mrusi hewani baada ya kufungiwa na nchi za Magharibi

Urusi wenyewe hiyo teknolojia hawana wanalialia tu kama mabwege

Nchi za Magharibi wanaume. Kwenye teknolojia Urusi mtoto mdogo sana
 
Wamezikataa wamagharibi kwani wamesema ndo dunia yote, hawataki kuzitazama? Mbona bado ipo kwenye baadhi ya satelite......dunia sio kwa mabepari tu
 
Alale salama El Comandante Magufuli ,amen🙏

#Siempre JMT🙏
 
Waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
 
Umevimbiwa propaganda koko.....
 
Russia kwenyewe wamebana karibia vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii, watu watasikia au kuona kile kinachoridhiwa na Serikali. Zaidi imekuwa ni kosa la jinai kutoa taarifa kuhusu jeshi linalopigana vita. Kwa style hii acha tu West waende nao sambamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…