white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kwa hilo sio kweli na ndio maana hata israel huwa hawaipendi sana aljazeera, na unajua kilichotokea mwaka jana kwenye jengo lao huko, ukanda wa Gaza!! Jaribu kufuatilia makala zao juu ya USA.Nadhani huijui vizuri AL Jazeera. Kama ingekuwa ni chombo kinachoonesha Habari za ukweli basi. Marekani angeshakipatilizia mbali. Kipo hai mpaka sasa kwakua ni sehemu ya Western propaganda tool.
Habari za ukweli ziliishiaga 2003 wakati wa vita vya Iraq.. Walishikishwa adabu wakaanza kufuata maelekezo ya USA tuu.
Kuna makala iliwahi we kwa humu.. Hakuna chombo chochote cha Habari western ambacho hakina editor kutoka CIA.. Ikiwemo AL Jazeera.. Vinginevyo isingekuwepo.