DSTV yaondoa chaneli za Urusi kwenye king'amuzi chake Afrika

DSTV yaondoa chaneli za Urusi kwenye king'amuzi chake Afrika

Hivi nauliza Kwa wadau wa Sheria hakuna namna ya kuwashtaki Hawa DStv Kwa kuondoa hiyo chanel ya urusi na wakati nanunua pengine sababu kuu ilikua ni hiyo chanel?
 
Wa maisha magic tunashangaa kupitwa na matukio
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Back
Top Bottom