DSTV yaondoa chaneli za Urusi kwenye king'amuzi chake Afrika

Kwa hilo sio kweli na ndio maana hata israel huwa hawaipendi sana aljazeera, na unajua kilichotokea mwaka jana kwenye jengo lao huko, ukanda wa Gaza!! Jaribu kufuatilia makala zao juu ya USA.
 
Hii haitasaidia kichapo kipo palepale halafu mazungumzo yatafuatia baadae
 
Wao hawana uhuru wa kutoa maoni kama mnavyosema
Nyie watu wa demoghasia simunao ama?
 
Sasa wewe habari za urusi utapata wapi.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Sanctions zimemmaliza Putin. Putin Eti Anasema sio yeye aliyevamia Ukraine ni taifa kingine really
 
Mrusi anadanganya Eti sio yeye
 
Larry King aliajiriwa na Russian Television halafu akaleta mizania dhidi ya story za CNN?
 
Larry King aliajiriwa na Russian Television halafu akaleta mizania dhidi ya story za CNN?
Unataka kubisha kisa alistaafu CNN. Kwanza hakuanzia uko, yeye kaanzia redioni tena akiwa mfanyakazi mwingine kabisa akaja kujaza nafasi ya mtangazaji aliyeacha kisa mshahara kidogo. CNN sio mama yake kwamba hakuweza achana nayo.

Na alipokuwa CNN alikuwa ni icon yeye binafsi kama Mirard Ayo alivyo na Clouds. Hata mabenki yanaajiri sana top managers waliopitia benki nyingine, na wakija hawashindwi kazi
 
Mrusi kama kweli mbabe kiteknolojia azirudishe hewani jinga kubwa arudishe hata Free To Air yaani FTA kama anajitia babe

Wanaume wanemfungia hana ubavu wa kurudisha hewani
Mrusi yupo hoi kiuchumi .
Larry king was fired at CNN his ratings wewe horrible and his scandals with a young wife was horrible .Situation yake ilikuwa kama Chris cuomo
 
Mrusi yupo hoi kiuchumi .

Larry king was fired at CNN his ratings wewe horrible and his scandals with a young wife was horrible .Situation yake ilikuwa kama Chris cuomo
Aaah sikujua kama alikuwa fired, nilijua kastaafu na bahati mbaya nimemjua akiwa RT enzi hizo Trump anagombea mimi niko form 4 na King nimemjua niko form 3 so akiwa CNN nyuma ya hapo sikuwa na akili za kufatilia misimamo yake. Ratings zake za uchaguzi wa 2016 zilikuwa more than excellent kwangu. Kwanza ndiye aliyemshauri Trump namna ya kuwa rais ile miaka ya 1990s hivyo simchukulii kama mtu wa kawaida. Sasa hivi sijui nani mchambuzi wa siasa mzuri, sitazamani vipindi
 
2016 ulikuwa Form 4? Kumbe tunajadili na Chekechea humu kwakweli. Labda utakuwa umesahau.
 
Wacha waondoe tu..
Dikteta put-in abanwe!
Hivi Putin ni dikteta? Unawajua madikteta kweli [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]unawajua waliomuua gadafi? Putin alikuepo? Fuatilia siasa za kimataifa utaujua ukweli.
 
Hivi Putin ni dikteta? Unawajua madikteta kweli [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]unawajua waliomuua gadafi? Putin alikuepo? Fuatilia siasa za kimataifa utaujua ukweli.
Yap.. ni dikteta!
Mwenye macho haambiwi tazama..
Kwani hao dikteta putin anaoua Ukraine siyo watu?!

 
Hata wakiondoa, bado haitaleta unafuu wowote ule kwa watu wa Ukraine. Maana Mrusi bado anaendelea tu kuwashambulia kila upande.
Mrusi hana tena ubavu anapigwa balaa ivi ukisikia ukrain unafikiri ni gongo la mboto unapoishi? Ukrain ni kubwa sana na maeneo ambayo russia imechukua labda kwa huko Tanzania tuseme mkoa wa kahama, labda kagera yaani pembezoni pembezoni, kule katikati kwenye mji Ukrain wamejipanga vizur sana na ndio ugumu wa hii vita iliko, russia wanaangusha majengo makubwa lakin watu wako kwenye mahandaki wanashambulia kwa akili vibaya sana, putini ashapoteza majesh na wahudumu karibu elfu 9000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…