Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

Ingekuwa enzi za agano la kale MTU ukiasi unaadhibiwa hapo hapo ingefaa zaidi
 
Mimi nataka fedheha mojawapo ya kuipata ni kuwa kama mhusika wa kuiba haki ya uchaguzi huu ni mwanaume basi akose nguvu za kiume na adharauliwe na mkewe kuwa siyo mwanaume kamili hata kama ni tajiri na ana mavyeo makubwa kiasi gani!
😂😂😂
 
Natamani na wewe upate laana ya jiwe.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Kwenye suala la uongozi, mamlaka zote zinatoka kwa Mwenyezi Mungu. Askofu pia mamlaka yake amepewa na Mwenyezi Mungu. Kama kweli anamuamini Mwenyezi Mungu, nafikiri arejee kwake kwa sala na maombi.
Hii kauli yake, inaambatana na mihemko na inakosa uhalali. Hata Sauli naye alimkataa Daudi na Mwenyezi Mungu alipoficha USO wake alipata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…