Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

Mimi nataka fedheha mojawapo ya kuipata ni kuwa kama mhusika wa kuiba haki ya uchaguzi huu ni mwanaume basi akose nguvu za kiume na adharauliwe na mkewe kuwa siyo mwanaume kamili hata kama ni tajiri na ana mavyeo makubwa kiasi gani!
😂😂😂
 
Wewe ni pimbi. Serikali inaongozwa na mfumo si mtu mmoja. Subiri lijinga wewe baada ya huyo kibaraka wenu kushindwa. Mnaishi kwa ujinga wa eti mfanyakazi wa serikali akiumwa eti karma, nyani mkubwa kila mtu ataugua na kifo hata wewe utakufa shenzi kabisa
Natamani na wewe upate laana ya jiwe.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna watakavyoendesha na kusimamia uchaguzi huu.

Wawe makini kwa sababu kuna dua nzito sana imeombwa na Askofu Mwamakula, Dua ya mtu yeyote yule atakayehusika kuiba haki katika uchaguzi huu ya kufedheheshwa hapahapa duniani yeye mwenyewe hadi kizazi chake cha nne.

Sasa nyie Watawala, watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Wakuu wa vyombo vya usalama fahamuni kuwa baada ya uchaguzi kuna maisha yenu binafsi, kunamaisha ya familia zenu. Hao watawala mnaowapigania watapita lakini Jueni kuwa kuna Dua ya Laana iko juu yenu mkivuruga uchaguzi huu.

Nyie mna watoto, au wajukuu, mtapata vitukuu n. k itawasaidia nini mtie uzao wenu laana eti kwa sababu ya ajira ya leo au posho ya leo?

Rais Magufuli, Jaji Kaijage, Jaji Mihayo, Diwani Athumani, Simon Sirro, Mkuu wa Majeshi Mabeyo na wooote ambao wanapokea amri zao hadi huko kwa wasimamizi wa vituo vya kura. Mko tayari nyinyi hii Dua ya kuwapatilizeni nyie hadi uzao wenu wa nne iwatafune?

Basi watendeeni haki Watanzania la sivyo msije mkafanywa dhalili katika dunia hii, mkawa na vizazi vilivyolaaniwa sababu tu ya kutowatendea haki watanzania!

Kuna maisha baada ya uchaguzi huu, kumbukeni hilo

Kwenye suala la uongozi, mamlaka zote zinatoka kwa Mwenyezi Mungu. Askofu pia mamlaka yake amepewa na Mwenyezi Mungu. Kama kweli anamuamini Mwenyezi Mungu, nafikiri arejee kwake kwa sala na maombi.
Hii kauli yake, inaambatana na mihemko na inakosa uhalali. Hata Sauli naye alimkataa Daudi na Mwenyezi Mungu alipoficha USO wake alipata tabu sana
 
Back
Top Bottom