Dua yangu kwa Paulo Makonda

Bwana alimkataa Sauli...kama Bwana amemkataa maombi yako ni makelele...halafu huyo makonda siyo spiritual kivilee...anyway kila mtu ashinde mechi zake kama mdau mmoja anavyosemaga humu
 
Ni kweli kabisa mkuu, asante kwa sala yako kwa watu wengine pia🙏🙏, ila mimi binafsi nimeamua kumuombea Bwana Paulo
huyo siyo Paulo ni Daudi Abert Bashite, Paulo Makonda ni mtangazaji wa redio moja huko Tabora,Bashite alitumia cheti chake!
 
Bwana alimkataa Sauli...kama Bwana amemkataa maombi yako ni makelele...halafu huyo makonda siyo spiritual kivilee...anyway kila mtu ashinde mechi zake kama mdau mmoja anavyosemaga humu
ndo la msingi hilo mkuu kila mtu kushinda mechi zake, kama ni upande wake tuache aendelee kushinda tu!
 
Mzee hapangiwiiiii! hapo ndio unamwambia amtupe kabisaaaa. Au umeamua kumharibia?
 
Uwepo wa Makonda Na Thamani Yake Dhidi ya:
1.Panya Road
2.Mihadarati na madawa ya kulevya
3.Uzururaji
4.Utelekezaji Watoto
5.Uvivu
6.Ukataji Tamaa
7.Upigaji na njia za mkato kimaisha
8.Miundombinu mibovu jijini Dar
9.Usahaulifu wa maendeleo kwa vijana.
10.Usahaulifu wa vipaji vya vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…