Dua yangu kwa Paulo Makonda

Dua yangu kwa Paulo Makonda

huyo siyo Paulo ni Daudi Abert Bashite, Paulo Makonda ni mtangazaji wa redio moja huko Tabora,Bashite alitumia cheti chake!
Sasa ilikuwaje hakutumbuliwa? au hakukuwepo na mgongano na huyo wa Tabora? au wa Tabora alikabidhi kila haki yake kwa DAB? Kaburi hili hata harufu halitowi pamoja na kulichimbachimba!!
 
Saalaam kwenu WanaJamvi

Baada ya pilikapilika nyiIngi kupita, pilika za kutangaza nia, kuchukua fomu, kampeni na hatimaye Uchaguzi mkuu hatimaye sasa Jahazi la nchi yetu limeanza kutulia kabla MZEE hajatangaza baraza lake la mawaziri na kuanza kusonga mbele rasmi kwa pamoja.

Kwangu mimi binafsi, ni wiki sasa inatimia tangu nianze kumuweka Rasmi kwenye Maombi ya Viongozi wangu Bwana Paulo Makonda aliyekua kamanda wetu hapa jijini, hasa baada ya MZEE kusisitizia katika hotuba zake za hivi karibuni kuwa kwa asilimia kubwa hatafanya uteuzi mpya hasa mikoani na wilayani, nikamkumbuka huyu kiongozi wangu shupavu na jasiri Bwana Paulo.

Kiongozi aliyekua bado ana ndoto za kufika mbali kiuongozi akifuata nyayo za mwenyewe MZEE za kuwatetea na kuwapigania wananchi hasa wale wa chini kabisa wasio na mtetezi, huyu Bwana Paulo alijitahidi kuwapigania bana, mara huku akina singo mama, mara kule bodaboda, sijui waliimu bila kuwasahau viongozi wa Dini aliojitahidi sana kuwaleta pamoja ili wafanye kazi kwa Umoja bila kuchukiana wao kwa wao kugombania kondoo. Tunazijua vita nyingi alizozianzisha na kuzipigania mpk mwisho 'field marshal' huyu mpk sasa jiji hili na nchi kwa ujumla imekaa salama kwa upande wa madawa ya kulevya.

Namuombea sana Bwana Paulo aweze kuonwa tena katika nafasi ya uongozi wa nchi yetu hii yenye kuhitaji watu wa aina yake ukiachilia mbali madhaifu yake ya kibinadamu ambayo tumeumbiwa nayo, alikua muwajibikaji mzuri sana kusimamaia vitu vinavyomuhusu yeye binafsi au mkoa wake kama kiongozi. Hakuwa muoga huyu jamaa wengi aliwashangaza kwa hilo, hata nchi nzima ilipomsema na kumnanga bado huyu jamaa alisimama imaara inaonesha hata mabeberu atawakazia sana huko mbele kama dua zangu zikikubalika mbele za Mungu na MZEE.

Tunamjua MZEE kwa misimamo yake anaweza sana kumkazia na kutompa tena hata wilaya LAKINI MZEE unazo zile nafasi za wabunge wa kuteuliwa (nafikiri zinakua 10) tafadhali tunakusihi, jicho lako limgeukie tena huyu Bwana Paulo sio kama utakuwa unarudisha mpira kwa kipa hapana ila kijana wako Paulo alikua mtiifu sana kwako achilia mbali ndoto zake mwenyewe kama kiongozi za kuhakikisha anakusaidia wewe kufikia ile nchi ya ahadi, basi ikikupendeza umuweke tena katika wale 'wanao' kumi wa ziada pale mjengoni ili wakati anapigania kutimiza ndoto zake hizo na sisi tunufaike na uongozi wake na kusonga mbele Pamoja.

Wako mtiifu!
Asante mkuu kwa mada hii nzuri. Hata mimi nakuunga mkono katika mawazo yako. Mimi naona kama Rais Magufuli hajamtendea haki Mh Makonda vile!

Kama binadam itambulike kuwa tamaa au ambition ni moja wapo ya tabia zetu za asili. Ni asili yetu kuwa watu ambao tumejawa na tamaa. Binadam asiye kuwa na tamaa na malengo ya kutaka kuona mambo yanabadilika kwa jinsi mtu anavyo yataka, basi huyo atakuwa sio kiumbe hai, bali ni kuumbe mfu.

Sijaelewa kwa nini Rais Magufuli anapania kukatisha ndoto za kondoo wake ambaye miaka hii mitano ya uongozi wake, kama Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ameteseka sana na kusulubiwa vibaya mno na wanasiasa wa kambi zote bungeni ziwe za upinzani na hata za chama tawala, wafanya biashara, na watu tofauti wasio na mwelekeo imara wa maisha kwenye social Media na hata mitaani, lakini mwana kondoo huyu wa mungu alionyesha uthabiti imara katika utendaji kazi wake. Ama kweli amefanya kazi yake kwa umahiri mkubws kwa kadri ya uwezo wake.

Kama Mungu wa mbinguni alimsamehe Abraham alipotaka kumkosea mungu kwa kumtoa mtoto wake mpendwa kama sadaka yake kwa mungu, naye akamletea kondoo ili atoe hiyo sadaka yake, sisi binadam tutakuwa nani tushindwe kumsamehe Makonda kqa kosa dogo la tamaa, kitu ambacho binadam wote tunacho? Tutakuwa tunafanya dhambi kubwa kwa mungu kumkatisha mtu kiu yake kwa kosa moja tu la tamaa ya kutaka kuleta mabadiliko.

Nina imani kubwa kuwa Makonda hakugombea ubunge wa Kigamboni kwa ajili kuwa waziri au pesa, bali alifanya hivyo kwa mategemeo ya kuwa na uwezo na nguvu zaidi ya kuleta maendeleo ya watu alio wapenda. Kama kuta kuwa na sababu nyingine siwezi jua kwa sasa.

Kitu kingine ambacho ningependa pia kukieleza ni kwamba Rais wetu naye kama asinge kuwa na tamaa ya kutaka kuwa Rais basi naye nafikiri asinge kuwa Rais wa nchi hii na kufanya maajabu mengi makubwa amabayo tunayaona.

Rais Magufuli ni mfano mkubwa sana wa tabia za binadam za kutaka kuwa na uwezo wa kuleta mabadililo kwa utashi wake. Kulingana na maelezo yake mwenyewe, amegombea ubunge wa Chato mara mbili bila mafanikio na mara ya tatu akafanikiwa. Kabla ya hapo alifanya shughuli nyingine nyingi ambazo bado aliona hazimpi kile alicho kuwa akikitafuta kukifanya.

Na nikiri ya kwamba yeye, hata bila kuchunguza ukweli wake kwa ndani, bila kuwekewa vifua na Marais walio pita na hasa Rais Kikwete wakati wa Nomination ya urais kwenye chama chake, sidhani kama CCM wangempitisha agombee Urais kwa beider ya ya Chama Cha Mapnduzi. asingekuwa Rais. Yeye alikuwa nani CCM kuliko Lowasser na Membe? That is the fact! Hakuwa kitu na tusitake kujidanganya.

Kwenye imani ya ulimwengu wa mungu, malaika wa mungu na mpinzani mkubwa wa mungu, shetani duniani, hakuna bina binadam hata mmoja anaye weza akasimama mbele ya wenzake na kusema kuwa yeye hakosei na wala hana kasoro. Kama kuna mtu wa aina hiyo basi nadhani atakuwa malaika au mungu mwenyewe.

Mimi nilikwisha mwona Makonda mda mrefu sana kuwa yeye ni mwana siasa na sio mkuu wa mkoa na hasa sio mkuu mkoa wa Dar es salaam. Makonda alistahili mda mrefu sana kuwa bungeni ili kwenda pigania haki za watu walio mchagua kama Rais anavyo fanya. Hata hivyo amejitahidi sana sana. Mkuu wa mkoa kuwaingilia watu wakubwa walio kwisha zoea kuchezea maisha ya vijana wetu na kukanyaga maiti zao kwenye biashara ya madawa ya kulevya, tumhadhibu kwa hilo kwa tamaa yake ndogo ya kutaka kuwa mbunge? Hapana!

Katika maisha yangu naweza sema baada ya Mwalim Nyerere mwanasiasa mwingine anaye weza fuata nyayo zake katika usemaji na hata kitendo chake cha ujasiri, Makonda naye yuko kwenye category hiyo. Rais Magufuli sio mwana siasa. Yeye ni mtu mwenye Vision na pia ujasiri wa kufuatilia na kutekeleza mambo anayo yaahidi, lakini hayuko katika category ya kuwa mwana siasa wa damu.

Sambamba na matendo ya Rais Magufuli Makonda naye ana ujasiri wa damu na sio wa maigizo kama wanasia wengine ambao tume washuhudia na tunaendelea kuwashuhudia bungeni.

Itakuwa dhambi kubwa sana kwa mungu mtu aliye yaweka maisha yake juu ya kikaango cha mafuta ya moto, leo akatwe ndoto zake za kuwatendea binadam wenzake mazuri, eti kwa sababu ya kuwa na tamaa ya kuwania ubunge, kweli?

Eileweke kuwa hata tukimfanyia ubaya katika career yake Makonda ni Icon wa vijana na wasani wengi wa Bongo na atabaki kuwa Icon wao tutake tusitake. Kiumbe cha mungu kitabaki kuwa kiumbe cha mungu tu, haisaidii kitu hata kama tutataka kumlipiza kisasi. Hiyo ni kazi bure, kwani ni sisi hatimaye ndiyo tunaumia.

Sijawahi kuona kipindi hiki cha hivi karibuni jinsi vijana walivyo dorola kwenye shughuli zao za michezo na maisha yao kama, wakati huu wa Makonda kutokuwepo. Makonda alikuwa kioo na matumaini ya vijana wengi Bongo na Tanzania kwa ujumla. Kuto kuwepo kwake naona ni pigo kubwa sana kwa vijana na akina mama walio onekana wanapata mwelekeo fulani wa maisha.

Sisi binadam ni nani hasa mpaka tukadhamiria kumhukumu mwana wa mungu kwa matendo yake yaliyokuwa na makusudio mema? Kuna mtu anaweza akatoka hadharani na kutuonyesha kiongongozi ambaye mbali na Rais Magufuli, amesulubiwa vibaya kama Makonda kwenye muhula huu wa kwanza wa Rais Magufuli? Kama yupo atueleze ni nani na kafanya lipi?

Kwenye mada zangu za huko nyuma nilisha wahi toa pendekezo la kuwa Makonda anapaswa kuwa katika wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni ambako ataweza tumia talent yake kisawa sawa kwa kuwahamasisha vijana wetu kufanya vizuri na kwa ufanis mkubwa kwenye dreams zao za Usanii na michezo. Ama kweli nimejionea mwenyewe jinsi vijana wanavyo mmiss ndugu yao Makonda. Vijana wengi naona wameanza kupoteza mwelekeo. Inasikitisha sana.

Kwa hali hiyo na mimi, kama mleta mada alivyo changia, ningependa pia kuchukua nafasi hii kumwomba Rais Magufuli kuwa na moyo wa huruma kwa mwana kondoo wake aliyepotea na kumrudisha kwenye track ili talanta yake isipotee bure. Kumpoteza Makonda ni sawa na kujiharibia sisi wenyewe maisha yetu, kwani vijana wetu wanamlilia na kummiss ile kishenzi.

Makonda kwenye Team ya wizara ya Habari Michezo na Utamaduni sina shaka huko ndiyo kwake. Kwa kushirikiana na Professor Abasi nina uhakika Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kimichezo. Vijana wataamka na kulipenda Taifa kwa moyo mmoja, kwani Role model wao atakuwa nao.

Namwombea Makonda mafanikio mazuri.
Asanteni!
 
Mkuu Umemaliza....

Mkuu ni imani yangu kuwa mh.Mwenyekiti na Rais wetu hana kinyongo na kaka yetu mh.Makonda....

Mh.Makonda anabaki ALAMA ya kundi la vijana JASIRI ndani ya CHAMA....

Mh.Makonda alisimama bila KUYUMBA kipindi kile cha CAUCAUSES na MAKUNDI ndani ya chama haswa baada ya wale MITUME 12 kuanza MOVES zao....

Mh.Makonda alitofautiana MTIZAMO(si dhambi) na Mtunduizi Sana mh.Laigwanan Lowassa...ikumbukwe nguvu za Laigwanan ZILIKUWA Ni kubwa na MARADUFU zaidi ya kijana mdogo Mh.Makonda....ila kama ALIVYO Tate Julius Malema wa EFF(simaanishi wanafanana kila kitu),mh Makonda HAKUUCHA msimamo wake HUO....

Binafsi sikuwa kambi ya MAREHEMU Mzee Sitta na Dr.H Mwakyembe...bali ninamkubali mno mh.Makonda kwa misimamo yake(si yote)...Misimamo yake na VISION zake KUNTU Kama MTHUBUTU kijana ndani ya CCM iliyo na DIRA ya kusimamia zile IMANI ZAKE KUU TATU......

Mwaka 2015 kabla ya Mh.Laigwanan Lowassa hajakatwa ndani ya CCM ninakumbuka mimi na sahibu yangu El commandante Comrade Said Sambala tulikuwa tunabarizi pale DODOMA CARNIVAL...mh.Makonda alikuja na kututania "Mzee wenu Lowassa HATOCHAGULIWA NA CHAMA na tusubiri tuone baada ya siku mbili mbele...kumbuka hapo ni kabla ya Mh.Lowassa "kuchinjwa" pale JUMBA JEUPE makao makuu....

kwa hiyo basi,nimalizie kusema kuwa MH.MAKONDA ni hazina...kikubwa tu ayafanyie kazi baadhi ya MAPUNGUFU yake anayoambiwa na tunaomwambia sisi ndugu zake TUNAOMTAKIA HERI ya kisiasa LEO NA MTONDOGOO aaamin aaaamin.

Taifa kwanza.
Uzalendo Kwanza.

MAENDELEO HAYANA VYAMA.

Muuza Al Kasus.
 
Asante mkuu kwa mada hii nzuri. Hata mimi nakuunga mkono katika mawazo yako. Mimi naona kama Rais Magufuli hajamtendea haki Mh Makonda vile!

Kama binadam itambulike kuwa tamaa au ambition ni moja wapo ya tabia zetu za asili. Ni asili yetu kuwa watu ambao tumejawa na tamaa. Binadam asiye kuwa na tamaa na malengo ya kutaka kuona mambo yanabadilika kwa jinsi mtu anavyo yataka, basi huyo atakuwa sio kiumbe hai, bali ni kuumbe mfu.

Sijaelewa kwa nini Rais Magufuli anapania kukatisha ndoto za kondoo wake ambaye miaka hii mitano ya uongozi wake, kama Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ameteseka sana na kusulubiwa vibaya mno na wanasiasa wa kambi zote bungeni ziwe za upinzani na hata za chama tawala, wafanya biashara, na watu tofauti wasio na mwelekeo imara wa maisha kwenye social Media na hata mitaani, lakini mwana kondoo huyu wa mungu alionyesha uthabiti imara katika utendaji kazi wake. Ama kweli amefanya kazi yake kwa umahiri mkubws kwa kadri ya uwezo wake.

Kama Mungu wa mbinguni alimsamehe Abraham alipotaka kumkosea mungu kwa kumtoa mtoto wake mpendwa kama sadaka yake kwa mungu, naye akamletea kondoo ili atoe hiyo sadaka yake, sisi binadam tutakuwa nani tushindwe kumsamehe Makonda kqa kosa dogo la tamaa, kitu ambacho binadam wote tunacho? Tutakuwa tunafanya dhambi kubwa kwa mungu kumkatisha mtu kiu yake kwa kosa moja tu la tamaa ya kutaka kuleta mabadiliko.

Nina imani kubwa kuwa Makonda hakugombea ubunge wa Kigamboni kwa ajili kuwa waziri au pesa, bali alifanya hivyo kwa mategemeo ya kuwa na uwezo na nguvu zaidi ya kuleta maendeleo ya watu alio wapenda. Kama kuta kuwa na sababu nyingine siwezi jua kwa sasa.

Kitu kingine ambacho ningependa pia kukieleza ni kwamba Rais wetu naye kama asinge kuwa na tamaa ya kutaka kuwa Rais basi naye nafikiri asinge kuwa Rais wa nchi hii na kufanya maajabu mengi makubwa amabayo tunayaona.

Rais Magufuli ni mfano mkubwa sana wa tabia za binadam za kutaka kuwa na uwezo wa kuleta mabadililo kwa utashi wake. Kulingana na maelezo yake mwenyewe, amegombea ubunge wa Chato mara mbili bila mafanikio na mara ya tatu akafanikiwa. Kabla ya hapo alifanya shughuli nyingine nyingi ambazo bado aliona hazimpi kile alicho kuwa akikitafuta kukifanya.

Na nikiri ya kwamba yeye, hata bila kuchunguza ukweli wake kwa ndani, bila kuwekewa vifua na Marais walio pita na hasa Rais Kikwete wakati wa Nomination ya urais kwenye chama chake, sidhani kama CCM wangempitisha agombee Urais kwa beider ya ya Chama Cha Mapnduzi. asingekuwa Rais. Yeye alikuwa nani CCM kuliko Lowasser na Membe? That is the fact! Hakuwa kitu na tusitake kujidanganya.

Kwenye imani ya ulimwengu wa mungu, malaika wa mungu na mpinzani mkubwa wa mungu, shetani duniani, hakuna bina binadam hata mmoja anaye weza akasimama mbele ya wenzake na kusema kuwa yeye hakosei na wala hana kasoro. Kama kuna mtu wa aina hiyo basi nadhani atakuwa malaika au mungu mwenyewe.

Mimi nilikwisha mwona Makonda mda mrefu sana kuwa yeye ni mwana siasa na sio mkuu wa mkoa na hasa sio mkuu mkoa wa Dar es salaam. Makonda alistahili mda mrefu sana kuwa bungeni ili kwenda pigania haki za watu walio mchagua kama Rais anavyo fanya. Hata hivyo amejitahidi sana sana. Mkuu wa mkoa kuwaingilia watu wakubwa walio kwisha zoea kuchezea maisha ya vijana wetu na kukanyaga maiti zao kwenye biashara ya madawa ya kulevya, tumhadhibu kwa hilo kwa tamaa yake ndogo ya kutaka kuwa mbunge? Hapana!

Katika maisha yangu naweza sema baada ya Mwalim Nyerere mwanasiasa mwingine anaye weza fuata nyayo zake katika usemaji na hata kitendo chake cha ujasiri, Makonda naye yuko kwenye category hiyo. Rais Magufuli sio mwana siasa. Yeye ni mtu mwenye Vision na pia ujasiri wa kufuatilia na kutekeleza mambo anayo yaahidi, lakini hayuko katika category ya kuwa mwana siasa wa damu.

Sambamba na matendo ya Rais Magufuli Makonda naye ana ujasiri wa damu na sio wa maigizo kama wanasia wengine ambao tume washuhudia na tunaendelea kuwashuhudia bungeni.

Itakuwa dhambi kubwa sana kwa mungu mtu aliye yaweka maisha yake juu ya kikaango cha mafuta ya moto, leo akatwe ndoto zake za kuwatendea binadam wenzake mazuri, eti kwa sababu ya kuwa na tamaa ya kuwania ubunge, kweli?

Eileweke kuwa hata tukimfanyia ubaya katika career yake Makonda ni Icon wa vijana na wasani wengi wa Bongo na atabaki kuwa Icon wao tutake tusitake. Kiumbe cha mungu kitabaki kuwa kiumbe cha mungu tu, haisaidii kitu hata kama tutataka kumlipiza kisasi. Hiyo ni kazi bure, kwani ni sisi hatimaye ndiyo tunaumia.

Sijawahi kuona kipindi hiki cha hivi karibuni jinsi vijana walivyo dorola kwenye shughuli zao za michezo na maisha yao kama, wakati huu wa Makonda kutokuwepo. Makonda alikuwa kioo na matumaini ya vijana wengi Bongo na Tanzania kwa ujumla. Kuto kuwepo kwake naona ni pigo kubwa sana kwa vijana na akina mama walio onekana wanapata mwelekeo fulani wa maisha.

Sisi binadam ni nani hasa mpaka tukadhamiria kumhukumu mwana wa mungu kwa matendo yake yaliyokuwa na makusudio mema? Kuna mtu anaweza akatoka hadharani na kutuonyesha kiongongozi ambaye mbali na Rais Magufuli, amesulubiwa vibaya kama Makonda kwenye muhula huu wa kwanza wa Rais Magufuli? Kama yupo atueleze ni nani na kafanya lipi?

Kwenye mada zangu za huko nyuma nilisha wahi toa pendekezo la kuwa Makonda anapaswa kuwa katika wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni ambako ataweza tumia talent yake kisawa sawa kwa kuwahamasisha vijana wetu kufanya vizuri na kwa ufanis mkubwa kwenye dreams zao za Usanii na michezo. Ama kweli nimejionea mwenyewe jinsi vijana wanavyo mmiss ndugu yao Makonda. Vijana wengi naona wameanza kupoteza mwelekeo. Inasikitisha sana.

Kwa hali hiyo na mimi, kama mleta mada alivyo changia, ningependa pia kuchukua nafasi hii kumwomba Rais Magufuli kuwa na moyo wa huruma kwa mwana kondoo wake aliyepotea na kumrudisha kwenye track ili talanta yake isipotee bure. Kumpoteza Makonda ni sawa na kujiharibia sisi wenyewe maisha yetu, kwani vijana wetu wanamlilia na kummiss ile kishenzi.

Makonda kwenye Team ya wizara ya Habari Michezo na Utamaduni sina shaka huko ndiyo kwake. Kwa kushirikiana na Professor Abasi nina uhakika Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kimichezo. Vijana wataamka na kulipenda Taifa kwa moyo mmoja, kwani Role model wao atakuwa nao.

Namwombea Makonda mafanikio mazuri.
Asanteni!
😍😍
 
Saalaam kwenu WanaJamvi

Baada ya pilikapilika nyiIngi kupita, pilika za kutangaza nia, kuchukua fomu, kampeni na hatimaye Uchaguzi mkuu hatimaye sasa Jahazi la nchi yetu limeanza kutulia kabla MZEE hajatangaza baraza lake la mawaziri na kuanza kusonga mbele rasmi kwa pamoja.

Kwangu mimi binafsi, ni wiki sasa inatimia tangu nianze kumuweka Rasmi kwenye Maombi ya Viongozi wangu Bwana Paulo Makonda aliyekua kamanda wetu hapa jijini, hasa baada ya MZEE kusisitizia katika hotuba zake za hivi karibuni kuwa kwa asilimia kubwa hatafanya uteuzi mpya hasa mikoani na wilayani, nikamkumbuka huyu kiongozi wangu shupavu na jasiri Bwana Paulo.

Kiongozi aliyekua bado ana ndoto za kufika mbali kiuongozi akifuata nyayo za mwenyewe MZEE za kuwatetea na kuwapigania wananchi hasa wale wa chini kabisa wasio na mtetezi, huyu Bwana Paulo alijitahidi kuwapigania bana, mara huku akina singo mama, mara kule bodaboda, sijui waliimu bila kuwasahau viongozi wa Dini aliojitahidi sana kuwaleta pamoja ili wafanye kazi kwa Umoja bila kuchukiana wao kwa wao kugombania kondoo. Tunazijua vita nyingi alizozianzisha na kuzipigania mpk mwisho 'field marshal' huyu mpk sasa jiji hili na nchi kwa ujumla imekaa salama kwa upande wa madawa ya kulevya.

Namuombea sana Bwana Paulo aweze kuonwa tena katika nafasi ya uongozi wa nchi yetu hii yenye kuhitaji watu wa aina yake ukiachilia mbali madhaifu yake ya kibinadamu ambayo tumeumbiwa nayo, alikua muwajibikaji mzuri sana kusimamaia vitu vinavyomuhusu yeye binafsi au mkoa wake kama kiongozi. Hakuwa muoga huyu jamaa wengi aliwashangaza kwa hilo, hata nchi nzima ilipomsema na kumnanga bado huyu jamaa alisimama imaara inaonesha hata mabeberu atawakazia sana huko mbele kama dua zangu zikikubalika mbele za Mungu na MZEE.

Tunamjua MZEE kwa misimamo yake anaweza sana kumkazia na kutompa tena hata wilaya LAKINI MZEE unazo zile nafasi za wabunge wa kuteuliwa (nafikiri zinakua 10) tafadhali tunakusihi, jicho lako limgeukie tena huyu Bwana Paulo sio kama utakuwa unarudisha mpira kwa kipa hapana ila kijana wako Paulo alikua mtiifu sana kwako achilia mbali ndoto zake mwenyewe kama kiongozi za kuhakikisha anakusaidia wewe kufikia ile nchi ya ahadi, basi ikikupendeza umuweke tena katika wale 'wanao' kumi wa ziada pale mjengoni ili wakati anapigania kutimiza ndoto zake hizo na sisi tunufaike na uongozi wake na kusonga mbele Pamoja.

Wako mtiifu!
Upuuzi.
 
🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌
 
Haya endelea kumwombea! Halafu ulikuwa na ulazima wa kutupa taarifa humu?
Endelea kuombea murderer ambaye according to US State Department amezulumu watu haki yao ya kuishi.
Hivi kwa nini mnakosa aibu hivi!
 
Niombee na mimi nimuoe mama yako
 
Hii thread imeniharibia siku yangu [emoji90][emoji90][emoji90][emoji34]
 
Mleta mada ombea familia yako dua! achana na ujinga unaofanya ambao haukusaidii kamwe ktk maisha yako! kalaghabao!
 
Nyie watanzania kwa unafiki mko vyema sana, kwa nini wewe mwenyewe usijiombee angalau upate hata utendaji wa kata au Tarafa au hata DAS?? Au kwa nini hiyo duwa usimuombee mmeo au mkeo? Ina maana maendeleo wewe binafsi huyataki?? Punguzeni upumbavu aisee.
 
Back
Top Bottom