GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kuna mtu alikuwa akipasifia Uturuki kuwa pako vizuri kwa nguo na samani (furniture)China bidha bei chini ingawa mbali.Dubai bei kidogo ghali ila karibu. Uturuki sijawahi kwenda ,sina cha kushauri.wala Sauzi