The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
History ya nchi zetu inashangaza sana.
Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri.
Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam.
Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia Somalia Hadi Msumbiji. Pwani yote ya hizi nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Msumbiji alitawala yeye.
Na Oman ilikuwa nchi kubwa Sana huko uarabuni sio Oman ya sasa, yaani UAE yote ilikuwa ndani ya Oman. Hiyo miji ya Abu Dhabi na Dubai ilikuwa haipo kipindi hiko ni vijiji tu vya watu wachovu. Zanzibar ilikuwa mji mkubwa kuliko hivyo vijiji vya Dubai enzi hizo.
Mpaka mwaka 1970 wakati UAE inaundwa Zanzibar ilikuwa Brand kubwa kuliko Dubai. Infact mikoa kama Tabora au Tanga ilikuwa miji mikubwa kuliko Dubai na Abu Dhabi.
Tunapaswa kuchimba Sana history kujua tulikosea wapi.
History yetu inashangaza sana