Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

History ya nchi zetu inashangaza sana.

Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri.

Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam.

Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia Somalia Hadi Msumbiji. Pwani yote ya hizi nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Msumbiji alitawala yeye.

Na Oman ilikuwa nchi kubwa Sana huko uarabuni sio Oman ya sasa, yaani UAE yote ilikuwa ndani ya Oman. Hiyo miji ya Abu Dhabi na Dubai ilikuwa haipo kipindi hiko ni vijiji tu vya watu wachovu. Zanzibar ilikuwa mji mkubwa kuliko hivyo vijiji vya Dubai enzi hizo.

Mpaka mwaka 1970 wakati UAE inaundwa Zanzibar ilikuwa Brand kubwa kuliko Dubai. Infact mikoa kama Tabora au Tanga ilikuwa miji mikubwa kuliko Dubai na Abu Dhabi.

Tunapaswa kuchimba Sana history kujua tulikosea wapi.

History yetu inashangaza sana
Tuweke Nukta hapa mstari wamwisho toka Chini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NZANZIBAR ulikuwa mji mkubwa
hata utawala wa QING CHINA majahazi yao yalikuwa yanakuja kuchukua malighafi

katika kusoma soma HISTORIA YA CHINA nilikuta sehemu kinaelezeq BIASHARA baina baina ya QING DYNASTY na SULTAN ambapoa MERI za UTAWALA WA QING DYNASTY zilikuwa zinatia nanga PWANI ya DAR ES SALAAM kuja kufanya BIASHARA ambapo MAJEMEDARI wa KICHINA walikuwa walikuwa wanafika mpka NZANZIBAR
 
Muarabu alipata vipi hao watu weusi kama siyo weusi wenyewe kushiriki kikamilifu?

Na mpaka leo hii liko wazi kwa yanayotokea sasa.

Acha lawama za upande mmoja, pande zote zimeshiriki.
Nikweli kabisa..dalali hawezi kuwepo kama hakuna mkulima na mfanyabiashara...wote wanatengeneza chain moja ya utumwa.

Mwafrika mwenye tamaa..mwarabu na mzungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu wazungu ni watu wenye wivu sana, Ila ndio wanaitawala hii Dunia kwahiyo wanatupeleka wanavyotaka wao, Hata Jiwe wakilita mkate na sisi tutaishia kulita hivo hivo.

Wakati Wazungu wanagawana Africa Zanzibar ilikua ni tayari nchi kubwa ambayo walishindwa kuingia kiwepesi, walitumia njia za kijanjajanja kuiingia pamoja na kuikatakata himaya Zake, na mwisho waikaizika 1964 kwa Muungano uchwara ili kuizima kabisa pamoja na historia yake.
Muungano huu ni faida kwa malkia uingereza...wazenji walishauzwa kitambo..wakubali tu kuwa mkoa ndani ya Tanganyika.

#MaendeleoHayanaChama
 
NZANZIBAR ulikuwa mji mkubwa
hata utawala wa QING CHINA majahazi yao yalikuwa yanakuja kuchukua malighafi

katika kusoma soma HISTORIA YA CHINA nilikuta sehemu kinaelezeq BIASHARA baina baina ya QING DYNASTY na SULTAN ambapoa MERI za UTAWALA WA QING DYNASTY zilikuwa zinatia nanga PWANI ya DAR ES SALAAM kuja kufanya BIASHARA ambapo MAJEMEDARI wa KICHINA walikuwa walikuwa wanafika mpka NZANZIBAR
Sawa ila sasa zenji ni mkoa kama mikoa mingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom