jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Waarabu walikua madalali wa biashara ya utumwa huwezi waondoa katika hilo mana walishiriki kikamilifu kumuumiza mtu mweusi.Nilisoma kitabu Cha tiputipu hakika wazungu wameficha sana historia,pia wameanikiwa kuwafanya waarabu kua watu wabaya na wapenda utumwa wakati ni tofauti na uhalisia was kipindi hiko
The Boss, siyo watu wote hawasomi historiaThe Boss,
..said bin sultan alihamia Zanzibar 1840, na Oman ikawa makao makuu madogo.
..alipofariki said bin sultan 1856, ufalme ukagawanyika baina ya majid bin said [Zanzibar], na thuwain bin said [Oman.]
Muarabu alipata vipi hao watu weusi kama siyo weusi wenyewe kushiriki kikamilifu?Waarabu walikua madalali wa biashara ya utumwa huwezi waondoa katika hilo mana walishiriki kikamilifu kumuumiza mtu mweusi.
Mpaka leo hili liko wazi..
#MaendeleoHayanaChama
Mnachotaka kusema kipindi hiko mtu mweusi alikua boya sana hajui lolote.kujitetea,kujiongoza,kujisimamia unataka kuuaminisha watu watu weusi walikua hawajielewi? Tulishiriki kikamilifu kwenye biashara hiyo Kwa kupitia machifu..wakosaji,mateka na vijana wowote chifu aliiona wanafaa aliwauzia waarabu.Waarabu walikua madalali wa biashara ya utumwa huwezi waondoa katika hilo mana walishiriki kikamilifu kumuumiza mtu mweusi.
Mpaka leo hili liko wazi..
#MaendeleoHayanaChama
Wazungu wameandika "edited version "ya history..
Hawataki tujue Empire zingine zilizokuwa powerful...
Omani Empire nasikia ilikuwa powerful kwenye maritime fleet kuliko nchi nyingi za Ulaya..
Waarabu walikua madalali wa biashara ya utumwa huwezi waondoa katika hilo mana walishiriki kikamilifu kumuumiza mtu mweusi.
Mpaka leo hili liko wazi..
#MaendeleoHayanaChama
Tatizo la weusi kila mtu na tumbo lake akishiba anapeleka ulaya kwwnda kuficha ndugu zetu polisi najeshi wanawalinda hao mafisadiHistory ya nchi zetu inashangaza sana.
Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri.
Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam.
Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia Somalia Hadi Msumbiji. Pwani yote ya hizi nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Msumbiji alitawala yeye.
Na Oman ilikuwa nchi kubwa Sana huko uarabuni sio Oman ya sasa, yaani UAE yote ilikuwa ndani ya Oman. Hiyo miji ya Abu Dhabi na Dubai ilikuwa haipo kipindi hiko ni vijiji tu vya watu wachovu. Zanzibar ilikuwa mji mkubwa kuliko hivyo vijiji vya Dubai enzi hizo.
Mpaka mwaka 1970 wakati UAE inaundwa Zanzibar ilikuwa Brand kubwa kuliko Dubai. Infact mikoa kama Tabora au Tanga ilikuwa miji mikubwa kuliko Dubai na Abu Dhabi.
Tunapaswa kuchimba Sana history kujua tulikosea wapi.
History yetu inashangaza sana
Hapa ndipo mnapoharibu ninyi mabwana. Waarabu hawakuwa watu wema kwa waafrika wazawa. Waliuza watumwa maelfu kwa maelfu, mbaya zaidi waliuza hadi watumwa wa kizungu.Nilisoma kitabu Cha tiputipu hakika wazungu wameficha sana historia,pia wameanikiwa kuwafanya waarabu kua watu wabaya na wapenda utumwa wakati ni tofauti na uhalisia was kipindi hiko
Vitu vya maana vimefichwa kwenye maandishi ng'ombe ziko busy kucheza amapiano.Hizi Mambo kwanini haziko bayana?
Kwann hizi story zinakuja kipindi cha uongozi huu wa awamu ya 6History ya nchi zetu inashangaza sana.
Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri.
Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam.
Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia Somalia Hadi Msumbiji. Pwani yote ya hizi nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Msumbiji alitawala yeye.
Na Oman ilikuwa nchi kubwa Sana huko uarabuni sio Oman ya sasa, yaani UAE yote ilikuwa ndani ya Oman. Hiyo miji ya Abu Dhabi na Dubai ilikuwa haipo kipindi hiko ni vijiji tu vya watu wachovu. Zanzibar ilikuwa mji mkubwa kuliko hivyo vijiji vya Dubai enzi hizo.
Mpaka mwaka 1970 wakati UAE inaundwa Zanzibar ilikuwa Brand kubwa kuliko Dubai. Infact mikoa kama Tabora au Tanga ilikuwa miji mikubwa kuliko Dubai na Abu Dhabi.
Tunapaswa kuchimba Sana history kujua tulikosea wapi.
History yetu inashangaza sana
Kwa nn hizi story zinakuja baada ya kiongozi kutoka zanzibar kuongoza tanganyikaHizi Mambo kwanini haziko bayana?
ni maili/kilomita 32 tu kutoka ufukwe wa bahari ya hindi kuanzia lamu mpaka pemba msumbiji. Si nchi yote (Tanganika or east africa germany)History ya nchi zetu inashangaza sana.
Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri.
Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam.
Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia Somalia Hadi Msumbiji. Pwani yote ya hizi nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Msumbiji alitawala yeye.
Na Oman ilikuwa nchi kubwa Sana huko uarabuni sio Oman ya sasa, yaani UAE yote ilikuwa ndani ya Oman. Hiyo miji ya Abu Dhabi na Dubai ilikuwa haipo kipindi hiko ni vijiji tu vya watu wachovu. Zanzibar ilikuwa mji mkubwa kuliko hivyo vijiji vya Dubai enzi hizo.
Mpaka mwaka 1970 wakati UAE inaundwa Zanzibar ilikuwa Brand kubwa kuliko Dubai. Infact mikoa kama Tabora au Tanga ilikuwa miji mikubwa kuliko Dubai na Abu Dhabi.
Tunapaswa kuchimba Sana history kujua tulikosea wapi.
History yetu inashangaza sana
Yani hii Tabora sasa! Kila mkutano unasikia ulifanyika Tabora enzi hizo! Sijui kilitokea nini maskini ya MunguHistory ya nchi zetu inashangaza sana.