Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

Tuweke Nukta hapa mstari wamwisho toka Chini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NZANZIBAR ulikuwa mji mkubwa
hata utawala wa QING CHINA majahazi yao yalikuwa yanakuja kuchukua malighafi

katika kusoma soma HISTORIA YA CHINA nilikuta sehemu kinaelezeq BIASHARA baina baina ya QING DYNASTY na SULTAN ambapoa MERI za UTAWALA WA QING DYNASTY zilikuwa zinatia nanga PWANI ya DAR ES SALAAM kuja kufanya BIASHARA ambapo MAJEMEDARI wa KICHINA walikuwa walikuwa wanafika mpka NZANZIBAR
 
Muarabu alipata vipi hao watu weusi kama siyo weusi wenyewe kushiriki kikamilifu?

Na mpaka leo hii liko wazi kwa yanayotokea sasa.

Acha lawama za upande mmoja, pande zote zimeshiriki.
Nikweli kabisa..dalali hawezi kuwepo kama hakuna mkulima na mfanyabiashara...wote wanatengeneza chain moja ya utumwa.

Mwafrika mwenye tamaa..mwarabu na mzungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Muungano huu ni faida kwa malkia uingereza...wazenji walishauzwa kitambo..wakubali tu kuwa mkoa ndani ya Tanganyika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sawa ila sasa zenji ni mkoa kama mikoa mingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…